Qatar walimpa Rais wa Marekani ndege ya kifahari aina ya Boeing 747 yenye thamani ya milioni 400 sawa na shilingi Trilioni 1 pamoja na mapokezi ya kifalme, lakini Marekani wameamua kurudisha fadhila kwa kuwaruhusu marafiki zao Israel waende kupiga tizi la shabaha katikati ya jiji la Qatar kwa kuwalenga makao makuu ya viongozi wafadhili wa Hamas.
Qatar walidhani Kaka mkubwa atamwambia mdogo wake atulie, lakini kilichotokea Qatar wamejifunza somo chung kuwa Undugu haujivunjwi kirahisi. Mdogo mtu kafumua mshono katikati ya Qatar, halafu Kaka mkubwa akasema "Mimi sikupewa habari!"