Qatar wanavuna walichopanda kwa kukubali kushirikiana na Marekani

6 Pack

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2022
Posts
3,952
Reaction score
8,807
Niaje waungwana

Wengi tunafaham kuwa shetan huwa hana undugu, urafiki wala ujamaa na binadamu. Shetan ndugu yake, rafiki yake na jamaa yake ni shetan mwenzake. Hivyo ukiingia makubaliano yoyote na shetani kwa njia ya kumfurahisha au kumkera ujue mwisho wako utakuwa mbaya sana.

Qatar ni miongoni mwa nchi za kiarab ambazo zimekuwa zikikubali kuuza utu wao, na heshima zao ili kuifurahisha nchi ya mashetani (Marekani) na mshirika wake Israel.

Ni Qatar hiyo hiyo ndio iliyoipa njia Marekani, na mashetani wenzake (West Countries) ili waitwange Iraq.

Ni Qatar hiyo hiyo ndio iliyotoa zawadi ya ndege kwa shetani mkuu Trump ili ije itumike kama air force one. Kwa kuamini kwamba wakifanya hivyo na wao watabebwa, na kubembelezwa kama shetani Netanyahu na genge lake.

Ni Qatar hiyo hiyo imekuwa ikiogopa kushirikiana na nchi zingine zenye nguvu za kijeshi kama vile Iran, China na Russia kikamilifu ili isije kuwauzi Marekani na Israel.

Ni Qatar hiyo hiyo ndio iliyokuwa inatoa taarifa za mashambulizi ya Iran kuelekea Israel ili waisrael, wamarekani, wasaudia, waingereza, wafaransa, wajerumani, wajordan na nchi zingine za west zijipange kuyazuia.

Mpaka leo hii Qatar haina jeshi wala silaha zinazoeleweka kwa kufikiri kwamba ikishambuliwa Marekani atailinda kama anavyoilinda Israel.

Sasa juzi kati amepata aibu baada ya kushambuliwa na walewale aliokuwa anafikiria kwamba wanamlinda. Trump (shetani mkuu) kupitia kambi zao zilizopo huko Qatar wamei collapse mifumo ya anga ya Qatar makusudi ili isitambue chochote kinachoingia wala kutoka nje ya nchi, kisha akamtaarifu Netanyahu afyatue vyuma kuelekea katika target yao waliyopanga pamoja.

Baada ya tukio ambalo lilifeli kuwalenga waliopanga kuwaua. Trump akajitokeza haraka kujifanya anamfokea Shetaninyau, huku akijisahau na kukiri kwamba alipewa taarifa ya kufanywa shambulio hilo mapema ila hakuzuia shambulio.

Baadae serikali ya Qatar inajitokeza na kujifanya kulaani tukio hilo ambalo limesababishwa na uzembe wao wenyewe. Alaf cha kushangaza yule kiongozi akiwa na kilemba chake et anajifanya mkali na kusema wao (Qatar) wana haki ya kujibu 🤣🤣🤣🤣
Tena kujibu kwenyewe mpaka wakae vikao na waarab wenzao ili kupanga namna ya kurudisha jibu.

Baada ya kuona vile mimi nlicheka sana kwa sababu 👇

1. Qatar inajifanya haijui kwamba inaishi na adui (Shetani mkuu) ndani ya ardhi yao. Sasa huyo shetan mkuu atakubali vipi mtoto wake ashambuliwe huku yeye akiwa anaangalia.

2. Wao wenyewe hawana jeshi wala silaha. Wakati Iran yenye vikwazo vya zaidi ya miaka 70 ikijizatiti kutengeneza silaha na jeshi la kujilinda dhidi ya nchi za magharibi na Israel ni impact yake tumeiona kwa kuinyuka Israel hadi Shetan mkuu (Trump) na nchi yake wakaingilia kati kuisadia. Sasa Qatar na waarab wenzao wamewekeza zaidi kwenye kula tende, wali na ngamia. Hiyo nguvu ya kurudisha shambulio wataitoa wapi?!

Kama wangekuwa na uwezo wangejibu hapo hapo kama walivyofanya Iran. Lakini hii ya kungoja kujikusanya ili kupanga shambulio inaweza kuwaweka wenyewe hatarini kwa kushambuliwa na Netanyahu kabla wenyewe hawajamshambulia yeye.

Qatar kama nchi wanatakuwa wafikirie mara mbili faida na hasara ya kuwa na urafiki na Shetani mkuu Marekani. Kuna msemo unasema kwamba, ni bora mara 10 uwe adui wa Marekani inaweza kuwa mgumu kuingilika, kuliko kuwa rafiki wa Marekani, ambapo atatumia urafiki huo kukujua nje ndani na mwisho wa siku iwe rahisi kukuchapa atakavyo.

Qatar wamechuma walichopanda hivyo waendelee kula tende na kuiacha Marekani na Israel zilinde mipaka yao ya angani, na ardhini kama walivyozoea. Swala la kulipa kisasi na kumfanya Shetaninyau akimbize familia yake kwao Poland linaweza kufanywa na Iran peke yake hapo Middle East nzima.
 
Siku zote ukipanda bamia utavuna bamia, mwarabu kimemramba kiukweli
Sasa wamebaki kulalamika tu bila kuchukua hatua madhubuti ya kukomesha ushenzi wa Shetaninyau na genge lake.
mwaraabu ameudhalilisha Uislam pakubwa sana
Bila Ottoman Empire (From Turkey) sehemu kubwa ya dunia hakuna ambae angeujua Uislam.

Ni kama vile bila Waroma Ukristo ungekuwa kama vile Hindu tu.
 
Niaje waungwana

Wengi tunafaham kuwa shetan huwa hana undugu, urafiki wala ujamaa na binadamu. Shetan ndugu yake, rafiki yake na jamaa yake ni shetan mwenzake. Hivyo ukiingia makubaliano yoyote na shetani kwa njia ya kumfurahisha au kumkera ujue mwisho wako utakuwa mbaya sana.

Qatar ni miongoni mwa nchi za kiarab ambazo zimekuwa zikikubali kuuza utu wao, na heshima zao ili kuifurahisha nchi ya mashetani (Marekani) na mshirika wake Israel.

Ni Qatar hiyo hiyo ndio iliyoipa njia Marekani, na mashetani wenzake (West Countries) ili waitwange Iraq.

Ni Qatar hiyo hiyo ndio iliyotoa zawadi ya ndege kwa shetani mkuu Trump ili ije itumike kama air force one. Kwa kuamini kwamba wakifanya hivyo na wao watabebwa, na kubembelezwa kama shetani Netanyahu na genge lake.

Ni Qatar hiyo hiyo imekuwa ikiogopa kushirikiana na nchi zingine zenye nguvu za kijeshi kama vile Iran, China na Russia kikamilifu ili isije kuwauzi Marekani na Israel.

Ni Qatar hiyo hiyo ndio iliyokuwa inatoa taarifa za mashambulizi ya Iran kuelekea Israel ili waisrael, wamarekani, wasaudia, waingereza, wafaransa, wajerumani, wajordan na nchi zingine za west zijipange kuyazuia.

Mpaka leo hii Qatar haina jeshi wala silaha zinazoeleweka kwa kufikiri kwamba ikishambuliwa Marekani atailinda kama anavyoilinda Israel.

Sasa juzi kati amepata aibu baada ya kushambuliwa na walewale aliokuwa anafikiria kwamba wanamlinda. Trump (shetani mkuu) kupitia kambi zao zilizopo huko Qatar wamei collapse mifumo ya anga ya Qatar makusudi ili isitambue chochote kinachoingia wala kutoka nje ya nchi, kisha akamtaarifu Netanyahu afyatue vyuma kuelekea katika target yao waliyopanga pamoja.

Baada ya tukio ambalo lilifeli kuwalenga waliopanga kuwaua. Trump akajitokeza haraka kujifanya anamfokea Shetaninyau, huku akijisahau na kukiri kwamba alipewa taarifa ya kufanywa shambulio hilo mapema ila hakuzuia shambulio.

Baadae serikali ya Qatar inajitokeza na kujifanya kulaani tukio hilo ambalo limesababishwa na uzembe wao wenyewe. Alaf cha kushangaza yule kiongozi akiwa na kilemba chake et anajifanya mkali na kusema wao (Qatar) wana haki ya kujibu 🤣🤣🤣🤣
Tena kujibu kwenyewe mpaka wakae vikao na waarab wenzao ili kupanga namna ya kurudisha jibu.

Baada ya kuona vile mimi nlicheka sana kwa sababu 👇

1. Qatar inajifanya haijui kwamba inaishi na adui (Shetani mkuu) ndani ya ardhi yao. Sasa huyo shetan mkuu atakubali vipi mtoto wake ashambuliwe huku yeye akiwa anaangalia.

2. Wao wenyewe hawana jeshi wala silaha. Wakati Iran yenye vikwazo vya zaidi ya miaka 70 ikijizatiti kutengeneza silaha na jeshi la kujilinda dhidi ya nchi za magharibi na Israel ni impact yake tumeiona kwa kuinyuka Israel hadi Shetan mkuu (Trump) na nchi yake wakaingilia kati kuisadia. Sasa Qatar na waarab wenzao wamewekeza zaidi kwenye kula tende, wali na ngamia. Hiyo nguvu ya kurudisha shambulio wataitoa wapi?!

Kama wangekuwa na uwezo wangejibu hapo hapo kama walivyofanya Iran. Lakini hii ya kungoja kujikusanya ili kupanga shambulio inaweza kuwaweka wenyewe hatarini kwa kushambuliwa na Netanyahu kabla wenyewe hawajamshambulia yeye.

Qatar kama nchi wanatakuwa wafikirie mara mbili faida na hasara ya kuwa na urafiki na Shetani mkuu Marekani. Kuna msemo unasema kwamba ni bora mara 10 uwe adui wa Marekani unaweza kuwa mgumu kuingilika, kuliko kuwa rafiki wa Marekani ambapo anatomia urafiki huo kukujua nje ndani na mwisho wa siku iwe rahisi kukuchapa atakavyo.

Qatar wamechuma walichopanda hivyo waendelee kula tende na kuiacha Marekani na Israel zilinde mipaka yao ya angani, na ardhini kama walivyozoea. Swala la kulipa kisasi na kumfanya Shetaninyau akimbize familia yake Poland linaweza kufanywa na Iran peke yake hapo Middle East.
A friend of my enemy is my enemy!
Yaani wewe uwafuge viongozi wa Hamas halafu nyuma ya pazia use me tuna ushirikiano?
 
Najiuliza chukulia wewe ni Kiongozi wa Qatar, kati ya Viongozi wa Hamas na USA/Yahudi utachagua kuwa upande upi? Wewe angalia nchi yao Qatar ilivyojengeka kutoka kuwa jangwa mpaka kuwa hivi ilivyo then ukubali kupoteza hali iyo kisa kuwatetea Hamas?
 
Waarabu wana pesa nyingi sana ila majeshi yao ni hovyo kweli hii inanishangaza sana akili zao zilivyo.

Uchumi mzuri bila jeshi zuri ni nothing
 
Back
Top Bottom