Qatar wanavuna walichopanda kwa kukubali kushirikiana na Marekani

Iran haina nguvu ni overarated.

Qatar ni nchi ndogo sana sana, kuibishia Marekani na Israel.

Qatar usalama wake unakuwa wa uhakika only and only if itashirikiana na Marekani.

Kosa la Qatar ni kufuga Magaidi wa Kisunni, Qatar ndio mfadhili mkuu namba moja ya Uislamu wa Itikadi kali pote Duniani.

Qatar ameanza kujiona Yeye ni muhimu kama Israel kwa Marekani, anasahau kabisa kuwa hakuna Mqatar muhimu kuliko Albert Einstein. Values za Wazungu na Waqatari haziendani kabisa
 
Marekani na Zionists tayari wameshaziweza Arabs countries, ni aibu inchinksma UAE na wenzie kuingia mkataba wa Normalisation na Mayahudi ambao hauna Faida .
Bila hizo nchi kuingia mkataba wa amani na Israel na Marekani, zitavamiwa na Iran.

Hizo nchi za Gulf zote ni shithole county propaganda za majengo na magari ya kisasa
 
A friend of my enemy is my enemy!
Yaani wewe uwafuge viongozi wa Hamas halafu nyuma ya pazia use me tuna ushirikiano?
Kwani kuna tatizo gani kuwafuga watu wanaopigania Uhuru na haki ya ardhi yao?

Mbona sisi tuliwafuga wapigania Uhuru wa South Africa, Zimbabwe, Namibia nk? Tena wakati huo wapigania Uhuru hao waliokuwa wanaitwa magaidi kama wanavyoitwa viongozi wa Hamas leo hii!
 
Waarabu wana pesa nyingi sana ila majeshi yao ni hovyo kweli hii inanishangaza sana akili zao zilivyo.

Uchumi mzuri bila jeshi zuri ni nothing
Jamaa ni wapumbavu kupindukia.
 

Kama USA na Israel ni nchi za mashetani bc huyo shetani n mzuri kuliko huyo mungu wako ww mtoa mada unayemuamini.



View: https://youtube.com/shorts/cguu2JHa0rY?si=Dp_roBGtqMocyWe7
 
Wewe ni zao la propaganda za US miaka ya 2000 zilipamba moto kuwa Uislam ni ugaidi, kumbe wafadhili ugaidi na magaidi ni wenyewe, kingine hakuna mtu Bora zaidi ya mwingine usijione Bora Kwakua umeaminishwa hivyo ngozi nyeupe ni Bora kuliko wewe, utaishia kudhalilika tu
 
Nadhani ni 2018 Saudi na UAE na watu wengine waliiwekea vikwazo Qatar na kusitisha uhusiano wa kidiplomasia
 
Jamaa ni wapumbavu kupindukia.
Hela za mafuta zimefanya warabu wamekuwa wapumbavu mno wamerelax kupita kiasi...wakati adui yao kila siku anajiimàrisha akisaidiwa na marekani wenyewe wametulia wanakula tende tu! Na sa iv ndio wanashtuka wakati muda ushawwaacha marekàni kawashika kila sehemu hawafurukuti. Km wangekuwa watu wa kujiongeza ile vita ya siku tatu ilipaswa kuwa wake up call yao ya kujenga jeshi imara
 
Unaandika kana kwamba hujui nguvu za marekani, sasa unataka qatar afanye nini kama mhimili wa uovu iran inatuangwa? Israel ni taifa kubwa duniani mjuba, usione ile mipaka yake pale tel aviv ukajua ndio mwisho wake
 
Unaandika kana kwamba hujui nguvu za marekani, sasa unataka qatar afanye nini kama mhimili wa uovu iran inatuangwa? Israel ni taifa kubwa duniani mjuba, usione ile mipaka yake pale tel aviv ukajua ndio mwisho wake
Kama Israel inajitahidi kuimarisha ulinzi wake hao waarabu nini kinacho washinda.

Hauwezi kuwa na akili timamu huku ukitegemea military bases za nje kuja kukulinda lazima uwe mwehu tu
 
Kama Israel inajitahidi kuimarisha ulinzi wake hao waarabu nini kinacho washinda.

Hauwezi kuwa na akili timamu huku ukitegemea military bases za nje kuja kukulinda lazima uwe mwehu tu
hizo military bases za nje ni security strategic yao. Ni ngumu kuwashambulia direct kwao, hizo bases zitakutwanga mapema tu nje kwa nje
 
hizo military bases za nje ni security strategic yao. Ni ngumu kuwashambulia direct kwao, hizo bases zitakutwanga mapema tu nje kwa nje
Kama ambavyo zilikuwa zimesinzia wakati IDF wana shambulia idiot
 
Tulipokuwa tunawafuga hao wapigania uhuru, tulikuwa na ushirikiano na nchi zao?
 
Viongozi wa kiarabu wote walimuona US kama Mungu wao mpaa wakaisahau Qur'an inavyo wambia Mayahudi wala Manaswara hawatakuridhia, mpaka ufuate imani yao.
 
Qatar ndio wanakotunza Hela za Magaidi, Israel imetuma message muhimu sana kwa Qatar
 
Iran haina nguvu ni overarated.
Kama Iran ni overrated mbona nchi 2 Israel na Marekani zilishirikiana kupambana nae?

Kumbuka hiyo ni nchi yenye vikwazo vya silaha, uchumi, teknolojia nk kwa zaidi ya miaka 70, lakini imeweza kupambana na nchi 2 zisizokuwa na vikwazo vya uchumi, jeshi nk kadhalika na impact imeonekana. Nchi unayosema ni overrated silaha zake zimeweza kupenya mifumo ya ulinzi wa anga wa nchi zaidi ya 8 zinazojulikana kuwa zina nguvu duniani ikiwemo Marekani, UK, Ufaransa, Ujerumani, Italy, Saudi Arabia, Qatar yenyewe, Jordan na Israel mpaka kufanikiwa kuigeuza Israel nzima kama Gaza kwa muda wa siku 12 tu. Mpaka Netanyahu kamuomba Trump aombe poo yaishe kabla nchi nzima haijafunikwa na vifusi vya makombora.

Je umeshajiuliza kama Iran isingekuwa na vikwazo vyovyote vya silaha na uchumi kama ilivyo Israel leo hali ingekuaje?

Israel haina vikwazo lakin Marekani akisirisha misaada kidogo, Netanyahu anaita vyombo vya habari kulalamika na kulia lia. Je angewekewa vikwazo kama vya Iran japo kwa muda wa miaka 5 si ingekuwa nchi ya hovyo zaidi ya Congo?
Qatar ni nchi ndogo sana sana, kuibishia Marekani na Israel.

Qatar usalama wake unakuwa wa uhakika only and only if itashirikiana na Marekani.
Sasa mbona inashirikiana na Marekani na bado ilishambuliwa?
Kosa la Qatar ni kufuga Magaidi wa Kisunni, Qatar ndio mfadhili mkuu namba moja ya Uislamu wa Itikadi kali pote Duniani.
Uislam wa siasa kali ni upi? Ni huu wa watu kudai haki zao kisha wanakamatwa na kwenda kuuwawa katika jela za Israel?

Wazungu ukidai haki yako kwa mfumo wa kawaida hawakupi haki yako, sana sana watakufunga au wakuue, refa kina Mkwawa, Kinjekitile na wengine wengi waliojaribu kudai haki katika ardhi yetu ya Tanganyika wote waliuwawa.

Kule Afrika Kusini watu weusi walipoona hawapewi haki zao kwa njia ya amani, wakaanza kudai kwa nguvu. Mzungu akawauwa, akawafunga na wengine kuwaita magaidi.

Hivyo hata Palestina ni hivyo hivyo. Watu wanavamiwa usiku na kufukuzwa kwa nguvu katika nyumba zao na ardhi zao. Wananyang'anywa mifugo yao na walowezi wanaojiita wayahudi.

Wakijaribu kupambana nao ili kuzuia uvamizi na unyang'anyi huo unaofanywa na walowezi, serikali ya Israel inaingilia kwa kuwakamata, kuwafuga na wengine kuwauwa kwa mateso na vipigo. Mwisho wa siku watu wanachoka na kuamua liwalo na liwe na kuanza kupambana na jeshi ili kudai haki. Jeshi likiona vile linawauwa na wengine kuwapachina jina magaidi kama walivyofanya makaburu na wajerumani hapa Tanzania.
Qatar ameanza kujiona Yeye ni muhimu kama Israel kwa Marekani, anasahau kabisa kuwa hakuna Mqatar muhimu kuliko Albert Einstein. Values za Wazungu na Waqatari haziendani kabisa
Ukweli ni kwamba Israel bila Marekani na washirika wake hawezi kuwa na nguvu ya kupambana hata na South Africa. Ila Iran yenyewe bila back ya nchi za Magharibi na vikwazo juu, imeweza kuonesha kuwa inaweza kupambana na Marekani pamoja na Israel kwa wakati mmoja kama tulivyoona na wenyewe wakaomba poo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…