Qatar wanavuna walichopanda kwa kukubali kushirikiana na Marekani

Umempa za uso huyo bwege 🀣🀣🀣
 
Unaandika kana kwamba hujui nguvu za marekani, sasa unataka qatar afanye nini kama mhimili wa uovu iran inatuangwa? Israel ni taifa kubwa duniani mjuba, usione ile mipaka yake pale tel aviv ukajua ndio mwisho wake
Naona umeamua kuja kujidhalilisha wewe mwenyewe.
 
Bila kusahau halua, kutesa ngozi nyeusi na kuoa vitoto vya kike underage!
 
Nime shindwa kumaliza kusoma hii ngonjera ya mvaa kipedo Mmoja wa itigi ndani ndani uko ina onesha amechukizwa na wavaa kobaz wenzake kuruhusu Ile midege ya F 35 kukatisha juu ya anga lake na kuwadungua wavaa vipedo walio kua waki panga mipango miovu dhidi ya taifa teule...
 
Nilijua tu kama shoga la Netanyahu utakuja ku comment.
Swali langu.. hivi huwa unakumbuka kuvaa pampaz?

Sababu tayari kijambio chako kipo wazi, so ukijamba tu bila pampaz ni Balaa.
 
Nilijua tu kama shoga la Netanyahu utakuja ku comment.
Swali langu.. hivi huwa unakumbuka kuvaa pampaz?

Sababu tayari kijambio chako kipo wazi, so ukijamba tu bila pampaz ni Balaa.
Allah akbar
 
Wakuu Active na Moderator habari zenu?

Wakuu mimi member wenu wa JF, nimefadhahishwa sana na kitendo kilichofanywa na mmoja wa moderator mwenzenu, kwa kubadili heading ya thread hii makusudi kabisa, ili kujaribu kupotosha ujumbe wang niliokuwa najaribu kuufikisha kwa wasomaji wengine.

Sijui lengo la kubadili heading yangu lilikuwa ni nini, lakin angekuja PM kunijulisha kwamba anabadili heading yangu kwa sababu ipi ili nijue kwamba kile atachokibadili kitaendana na ujumbe niliokusudia kuuandika hapa au la. Na sio mtu kuamua kuja na mawazo yake ya kupingana na kile nilichokuwaza na kukiandika mimi mwenye thread husika.

Heading yangu niliandika hivi πŸ‘‡

"QATAR WANAVUNA WALICHOPANDA KWA KUKUBALI KUSHIRIKIANA NA SHETANI". Shetani niliemkusudia hapa ni Marekani na Israel ambazo Qatar amekubali kushirikiana nao na sasa wamemgeuka. Hata ukisoma uzi mzima utaelewa nlichomaanisha kwenye kichwa cha habari yangu.

Halaf anakuja moderator anabadili kichwa cha habari makusudi na kuandika πŸ‘‡

"QATAR WANAVUNA WALICHOPANDA KWA KUKUBALI KUSHIRIKIANA NA HAMAS". Hivi hii kweli ina make sense? Inamaana huyo moderator ameshindwa kuusoma uzi na kuelewa lengo la kichwa cha habari mimi kukiandika vile?

Anyway huu ndio ujumbe wang kwenu, kama hamtojali ningependa mnirudishie kichwa cha habari cha mwanzo ili kiendane na kile kilichoandikwa. Asante sana πŸ™.
 
Kumradhi, Title edited.
 
Bila hizo nchi kuingia mkataba wa amani na Israel na Marekani, zitavamiwa na Iran.

Hizo nchi za Gulf zote ni shithole county propaganda za majengo na magari ya kisasa
Iran iwavamie sababu gani?
 
Iran iwavamie sababu gani?
Migogoro yote unayoiona Mashariki ya kati msingi wake ni kitu kinaitwa "Skyes-Picot" aggreement, hao watu waliigawa middle east kwa namna ambayo kila nchi itakuwa na mgogoro wa mipaka na Jirani yake au itakuwa na jamii za watu ambao ni maadui kiasili.

Katika nchi za Ghuba kuna taifa linaitwa Baharini, kihalisia eneo hili lilipaswa Kuwa eneo la Iran/Persia.

Hawa Bahrain wanajua huu uhalisia kwa hiyo wao waliamua kuwa Upande wa Israel na Marekani kwa kila kitu hili Iran asiwaze kabisa.

Ikitokea Marekani na Israel haziwezi kabisa kuusaidia Bahrain na nchi zingine za Ghuba, Iran itajaribu kuirudisha Bahrain chini yake, the Utawala wa Saudia utaitaka ardhi ya Qatar kubalance power, na hivyo vi nchi vidogovidogo vyote zitakuwa hatarini kumegwa na majirani wakubwa.

So there nothing they can do against Israel.

Vua bias zote, jadili uwezo wa Israel na uhodari wake kwenye vita ya siku 12, namna Taifa dogo kama Israel lilivoendesha operation ngumu kama kuishambulia Iran na vituo vyake vya Nyuklia alafu replace Iran weka nchi yoyote ya Kiarabu
 
Kumbe Israel ndiyo ilishambulia vituo vya Nyuklia vya Iran? Sasa nimeanza kuona kwanini Qatar na wengine wanajazwa hofu kuwa Iran ndiyo tatizo huku wakikaribisha tatizo ndani.
 
Kumbe Israel ndiyo ilishambulia vituo vya Nyuklia vya Iran? Sasa nimeanza kuona kwanini Qatar na wengine wanajazwa hofu kuwa Iran ndiyo tatizo huku wakikaribisha tatizo ndani.
Vituo vya nyuklia vipo vingi, vipo kuanzia vya cooling fuel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…