Qatar wanavuna walichopanda kwa kukubali kushirikiana na Marekani

Vua bias zote,
Ni maajab unashauri watu wavue bias, wakati wewe mwenyewe umeshindwa japo kiunafiki tu kuivua hiyo biaz
jadili uwezo wa Israel na uhodari wake kwenye vita ya siku 12, namna Taifa dogo kama Israel lilivoendesha operation ngumu kama kuishambulia Iran na vituo vyake vya Nyuklia alafu replace Iran weka nchi yoyote ya Kiarabu
Ndomaana nasema wew binafsi umeshindwa kupretend japo hata kiunafiki tu ili usijulikane kama umeandika comment hii kwa lengo la kuipa Israel ubora isiokuwa nao hata chembe.

Kwanza usijifanye haujui kwamba Marekani nayo ilituma ndege ya kuisaidia Israel kushambulia vinu vya nyuklia vya Iran. Na hii ni baada ya Marekani kuona Israel yenyewe ilishindwa kufikia malengo ya shambulizi kutokana na ubora wa vinu na mahali vilipowekwa.

Pili unajifanya haujui kwamba Israel iliendesha vita vyake kwa msaada mkubwa wa kijeshi kutoka Marekani na kwa washirika wake wa Magharibi kama vile UK, Ufaransa, Ujerumani, Italy nk. Hata wakati wa makabiliano ya vita, hizo nchi nlizotaja hapo juu zikishirikiana na Saudia, Qatar yenyewe, vikosi vya kambi za Marekani vilivyopo Iraq na Jordan kwa pamoj zilishiriki kwa kiwango kikubwa kuilinda Israel ili kuhakikisha mashambulizi ya Iran hayafiki Israel, lakin walifeli pakubwa na kusababisha miji mingi ya Israel ikiwemo miji mikuu, ofisi za serikali na kambi za jeshi kushambuliwa kama vile hakuna mfumo wa Iron Dome wala THAAD.

Na kumbuka hiyo nchi ambayo Marekani, UK, Ufaransa na washirika wengine walipambana kuizuia ina vikwazo vya zaidi ya miaka 70! Je ingekuwa haina vikwazo vya kiuchumi, silaha na teknolojia kama Israel hali ingekuaje?

Au jiulize kama Israel ingewekewa vikwazo vya kiuchumi, na silaha japo kwa miaka 5 tu halaf iingie vitani na Iran ambayo ingekuwa haina vikwazo vya kiuchumi na silaha hali ingekuaje?

Kama tukiacha bias kama ulivyosema, tunawaza kusema ile ilikuwa vita ya Iran pekee yenye vikwazo vya kiuchumi na kijeshi, dhidi ya Israel isiokuwa na vikwazo vyovyote iliyoshirikiana na Marekani kisilaha na kijeshi kupambana na nchi moja, na bado wenyewe wakakimbilia kuomba poo bila lengo lao kubadilisha regime ya Iran kutimia.
 
Mayahudi wafanye wafanyavyo ilaa Qur’an ilishawazungumzia madhaalim hao na kibaya kitawakuta, hivyo wasijione wako salama ila mwisho wa yote PALESTINE watashinda VITA.

اللهم انصر اخواننا المسلمين في فلسطين🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸
 
Bendera uliyotumia ni ya Jordan
 
WAPALESTINA NI WAVAMIZI KWA MUJIBU WA QURAN

Qur’an inataja wazi kuwa ardhi takatifu (Ardhi ya Kanaani) ilipewa kwa Waisraeli (wana wa Israel). Kuna aya kadhaa zinazolitaja hilo

Qur’an 5:20–21

Na Musa akawaambia watu wake

“Enyi watu wangu! Kumbukeni neema ya Mwenyezi Mungu juu yenu, alipowafanya manabii miongoni mwenu, na akakufanyeni wafalme, na akakupeni msichopewa yeyote katika walimwengu. Enyi watu wangu! Ingieni katika ardhi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amekuwekeeni, wala msirudi nyuma, msije mkageuka wakhasiri.”

Qur’an 17:104

Na baada ya Firauni, tukawaambia Wana wa Israel: “Kaeni katika ardhi; na utakapokuja ahadi ya Akhera, tutawakusanya pamoja.”

Qur’an inakiri kuwa Mwenyezi Mungu aliwapa Waisraeli ardhi hiyo kama urithi.

Musa aliwahimiza watu wake waingie katika Ardhi Takatifu ambayo tayari imewekwa kwa ajili yao.

Hakuna popote pale Quran inawataja Wapalestina, au waislamu wapewe Ardhi ya Israel

Gaza watachapwa sana ,kwasasa imebaki asilimia kubwa ,Wana wa Yakobo warudishe Ardhi Yao yote iliyoporwa na Wahuni wakipalestina

WAPALESTINA NI WAVAMIZI
 

"Upendo" gang mkifika middle hata neno/concept ya "upendo" hmataki kuisikia kabisa



Hivyo vitabu vyote vinatoa solution gani hapo middle east?
 
Allah yuko pamoja nao ndugu zetu wapalestina, wanaowapiga na kuwauwa na ambao wana shirikiana nao kwa namna yoyote ile basi Allah atawalipia hawa ndugu zetu
 
Umeandika pumba😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…