Mbute na chai
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 564
- 593
Ukiwa mtunzaji, unatoboa nayo miaka mitatu au zaidi.Laki saba😳
Asante kunijuza, mi huwa mzee wa quality at least nimeipatapata picha ya jumla. Yaaani quality can be ridiculously pricy.
Ukizifuma, hakuna kujibania aani unakuwa na vitu vichache tu qualityUkiwa mtunzaji, unatoboa nayo miaka
Sure. Pesa tu haijakaa. Mi naona bora ununue izo za 400-700 hafu unatulia. Ila kama unapenda music.Ukizifuma, hakuna kujibania aani unakuwa na vitu vichache tu quality
Kwann usidake za JBL ..bei yake nzuri tu 120kSure. Pesa tu haijakaa. Mi naona bora ununue izo za 400-700 hafu unatulia. Ila kama unapenda music.
Hiyo unaweza kutumia home, mazoezini, safarini, ofisini, mtaani etc.
Hiyo sponji ikichakaa unabadirisha tu. Cheap.
Tatizo kupata JBL halisi hapa Bongo ni kichefuchefu.Kwann usidake za JBL ..bei yake nzuri tu 120k
JBL Original haiwezi kuuzwa bei hiyo sawa na $ 50...inacheza $200 na kuendelea.Kwann usidake za JBL ..bei yake nzuri tu 120k
JBL ya 120k labda earbuds vya kudumbukiza masikioni. Mi uwa sivikubali.Kwann usidake za JBL ..bei yake nzuri tu 120k
Ni nzuriTatizo kupata JBL halisi hapa Bongo ni kichefuchefu.
Direct bila speaker wala headphones.alooo juzi nlikua nasikiliza mziki kwenye simu yangu
Iphone xr
Surround nzuri kinoma
Hawa watu wako mbele ya muda
Direct bila speaker wala headphones.
Kwenye daladala au ghetto?Ndio mkuu
No nlikua somewhere tuKwenye daladala au ghetto?
Mnataka kuwa viziwi sio?Ukizifuma, hakuna kujibania aani unakuwa na vitu vichache tu quality