Quality headphones zinaaibisha watayarishaji wa muziki (producers) bongo

Quality headphones zinaaibisha watayarishaji wa muziki (producers) bongo

Niliwahi pata headphones kwenye balo za mtumba..
Babaa, ile kitu acha kabisaa, narudia acha kabisa, Yaani mziki unausikia kama unapigiwa hapo kichwani kwako, kila angle ya beats unaisikia...

Kati ya watu watafika mbinguni wamechoka, Basi ni wachina...,
NOTE : Bidhaa za wachina nyingi zinaongeza stress.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uziwi unaletwa na hizo za ajabuajabu

Lakini hizi proffesional unakuta zinasaidia hadi kuzuia uziwi

Mfano unaambiwa teknolojia ya noise cancelling inakusaidia usisikie makelele ya mtaani ambayo ndio huleteleza uziwi. Unakula music tu.

Earphone nzuri zinatibu hadi uchizi broh
Unaongelea uchizi huu huu au?
 
[emoji1787][emoji1787]

Nawe sema kimya kimya.. unataka kila mtu asikie kuwa nilifungiwa na mishangazi.

Aiiiiii mdomo komaa jmni, bas bana nmefunga bakuli[emoji850][emoji40] ila uache madhambi tupo mwez wa rozali
Nmekumbuka kuna uzi flan iv kuna jamaa alisimulia story yake na mshangaz mpka nikakukumbuka sijui umeuona
 
Ndio maana nimetoka kwa mishangazi, nami nipo mwezi wa rozali.

Nipo mwezi wa rozali,sitaki hata kuuona huo uzi.🤣🤣
 
Back
Top Bottom