Quality ya nguo za GSM na Waikiki siyo nzuri

Hapo mimi nimekuelewa maana mimi nilikuwa nanunua brand za max tu
 
Watu wabishi tu mkuu, wanadhani kuuziwa kitu bei cheap basi ndo ujanja.

Na hii ni kwasababu watu hawachunguzi kitu kabla ya kununua, yeye anaangalia bei tu, itayokua chini ndo hiyo anapita nayo na sio ubora wa bidhaa.
 
f

Unaweza kuamua kurudi kijijini kwenu ukaanza kuishi off the grid kwa kulala juu ya mti au kwenye pango msituni na kujisitiri kwa kutumia magamba ya miti. Ni uamuzi wako tu mkuu
You're defending what you already in your head so I can say you've mind map or perception blind spot.
Hatujakataa mkuu, you're right.

Ukiona smb like Bill gate,mark Zuckerberg,Elon musk etc wapo kwenye tisheti wanawaza namna ya ku conquer dunia.
Ngoja sie tumiliki ist ili iwe rahisi kula mbususu Mana maisha yenyewe mafupi.

Diamond contract milele,bandari nayo milele,gesi msoga wameshabeba muda kitambo muda huo umewekewa maigizo ama simba na yanga unashangilia watu wanajichukulia Mali na kuhakikisha wajukuu zao wanakuja kuwa Kama akina Trump.
Trump amekutana na Mali anaendeleza so make sure na mjukuu wako anakutana na investment aama anaweza akakutana Woolworths,iPhone ,adidas na series alizokuwa anacheki Babu. Ni juu yako ya kuamua. Mie nimeamua kurudi kijijini mkuu kitambo mno
 
Njoo Karume uchague mtumba grade 1
 
wewe utakuwa mshabiki wa makolo
 
MKUU NGUO ZINANUNULIWA ILI UNUNUE NYINGINE, SIYO KITU CHA KUDUMU

amini amini nakwambia,nguo zimetengenezwa uishi nazo jumla,kama huamini nunua jersey grade 1 ya laki 2.5 kisha anza kutumia.

ni vile tuko dunia ya tatu huku,kiatu cha 70k tunasema ni original kumbe original yenyewe ni 600k[emoji28][emoji28].
 
Woolworths baba lao,ingawa bei zao zimesimama,mie nguo za watoto za mitoko na kulipuka nawachukulia huko,then kwa occasion nyingine namix na za huko gsm,mr price,mtumba nk
 
amini amini nakwambia,nguo zimetengenezwa uishi nazo jumla,kama huamini nunua jersey grade 1 ya laki 2.5 kisha anza kutumia.

ni vile tuko dunia ya tatu huku,kiatu cha 70k tunasema ni original kumbe original yenyewe ni 600k[emoji28][emoji28].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…