Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,862
- 6,438
- Thread starter
-
- #101
ana watoto wawili wa kikeHajawahi kuwa mtoto kwan[emoji848][emoji848][emoji848]
hahah lakini baadhi ya wanasayansi wanapangua hiyo ....Mimi kinachoniumiza hapa ni kwamba yaan yoote ninayofanya mm ni only 2% natumia??
sawa sawa nakubaliana nawew mkuu lakini ungetumegea kidogo ulichonacho"UBONGO WA MWANADAMU HAUJAWAHI KUWAZA KITU AMBACHO HAKIPO AU HAKIJAWAHI kuwahi KUWEZEKANA AU KUJA KUWEZEKANA"
This statement has an iherent contradiction.
[emoji28][emoji28][emoji28]Sisi Tanzania chini ya Magufuli tuna corona IMMOTALITY,yaani nchi zote duniani kuna corona isipokuwa hapa Tanzania!
Rafiki kumbe huwa unatembelea nyuzi nyingine pia?Nimezoea tu kukuona kwenye ule uzi wetu pendwa ule![emoji28][emoji28][emoji28]
Nikipata wasaa napitipitia nyuzi nyingi. Ila huwa sio sana kuchangia. Mie ni mpenzi sana wa kusomaRafiki kumbe huwa unatembelea nyuzi nyingine pia?Nimezoea tu kukuona kwenye ule uzi wetu pendwa ule!
Poapoa rafiki,uwe na siku njemaNikipata wasaa napitipitia nyuzi nyingi. Ila huwa sio sana kuchangia. Mie ni mpenzi sana wa kusoma
karbuuNikipata wasaa napitipitia nyuzi nyingi. Ila huwa sio sana kuchangia. Mie ni mpenzi sana wa kusoma
Nadharia, fiction, drama, movie, tamthilia, igizo. Chagua jina lolote litafaa.
Yap mkuunadharia
Ahsante sana swahiba. Uwe na siku njemaPoapoa rafiki,uwe na siku njema
swadaaktaYap mkuu
Izo ni nadharia tu pia binadam anatumia asilimia zte ktk ubongo wake labda mtu asieona au hatembei ndo kias fulan hakifanyi kaz
Kipindi hiko cha Msiba nikaikumbuka hii comment yako hapa mkuu🙏Sisi Tanzania chini ya Magufuli tuna corona IMMOTALITY,yaani nchi zote duniani kuna corona isipokuwa hapa Tanzania!