QUANTUM IMMOTALITY: Nadharia ya kukwepa kifo. Je, ni kweli Rais wa urusi PUTIN anaishi milele?

 
Hakuna mtu anaeogopa kifo kama putin. Yeye kazi kuua adui zake.

Toka corona ipo hatoki ana jengo maalum kuingia ofisini imetengenezwa corridor mvuke unampuliza kuua vijidudu ndio aingie job. Na ukitaka kumuona siku 14 karanti...
Aisee ..🤔🤔

Inatafakarisha
 
Kwamba akizeeka anaanza kurudi tena ujana, au anazaliwa kabla hajafa then ndio anakuwa au,,, hii ngumu sana
 
Reptiles are existing na pia kuna kilevi kinaitwa adrenachrome kinapatikana ktk damu ya binadamu kinasababisha longevity na kutozeeka kama nyoka wanavyojivua magamba na ukianza fatilia adrenachrome utakutana na pedophilia ring ambayo inahusika na kilevi hicho na kinachosikitisha ni kwamba watoto ndo wahanga wa hili
 
Tuombe uzima nitaleta, nyuzi kuwahusu kwa undani zaidi
 
Watu wengine wanasema Putin amekufa na huyu 'Putin' wa sasa ni robotoid.
 
kuna mtaalamu alipata kusema,

"UBONGO WA MWANADAMU HAUJAWAHI KUWAZA KITU AMBACHO HAKIPO AU HAKIJAWAHI kuwahi KUWEZEKANA AU KUJA KUWEZEKANA"

kama hujanielewa kwenye nukuu hiyo utakuja na maswali mengi kwenye baadhi ya vipengele huko chini.

Tumejifunza vingi sana kuhusu maisha na vilivyo nyuma ya maisha ya kawaida

Na WAKATI MWINGINE inatakiwa tukubali kuwa kuna NGUVU nyingine inayoendesha na kutawala hii dunia yetu tofauti na ubidamu

Wazungu wamekuwa na michezo ya kutuchezea bongo zetu ,,,,kwa namna mbalimbali na kwa mambo ambayo hatukuwahi hata kuyafikiria.

Dan Brown mwandishi nguli wa Vitabu vya fiction alipata kusema fiction nyingi huwa zinapenyeza ujumbe ulojificha.

Sasa hapa utaongeza mwenyewe kama utaona kama fiction movies mfano wa movie za marvel nazo ziko kwa njia ya kufurahisha au kuleta na ujumbe pia.

Ni wewe na imani zako, kwa sababu imenenwa imani huponya

Vladmir Putin, Raisi wa urusi ni kati ya watu wanaodhaniwa kuwa ni "immortal people" watu wasiokufa......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…