Queen Darleen ahama kwenye nyumba ya Mbezi Beach arudi kwao Sinza

si nilisikia wale ni wahindi hivyo basi haishangazi kurudi kwao na kuishi pamoja.
asma khan devgan
abdul nasib khan kajol
DJ khan pretty zintah
mama mdebwedo khan uzee mwisho kwa amrish purrrr
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hiyo inaitwa home sweet home
 
Chako ni chako tu, hata kama ni porini. Smart move πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Umevamua jukwaa jombaa, ukitaka mambo ya uchumi wa kati nenda jukwaa la siasa.

Huku wenzio tunakujaga kuondowa stress tu, huwezi kuvaa suti beach bana.

Huyu usimweleze wanatuletea maadili ya kanisani kwenye jukwaa letu halafu ukiangalia kajiunga jf juzi hapo wakati wakongwe tunajua binam tunaenda nae vipi
 
Sawa upo sahihi kwa akili zako,ila ni ujinga kuanza kufuatilia maisha ya mtu anavyoishi na utabaki kuwa mjinga kama hutabadilika.......akipanga Mbagala,Mbezi au Tandale we inakusaidia nini?

Mzee wangu kafungue chuo cha biblia kabisa, maana wewe na maadili ni damdam, tuachie binam yetu sisi tunaomuelewa tutasonga nae hivo hivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…