Queen Darleen ahama kwenye nyumba ya Mbezi Beach arudi kwao Sinza

Queen Darleen ahama kwenye nyumba ya Mbezi Beach arudi kwao Sinza

Umevamua jukwaa jombaa, ukitaka mambo ya uchumi wa kati nenda jukwaa la siasa.

Huku wenzio tunakujaga kuondowa stress tu, huwezi kuvaa suti beach bana.
[emoji23][emoji23]
 
Wewe ungekua hupendi kufuatilia ya watu humu umekuja kufuata nini mnafiki mkubwa wewe Mxiee tena usinifanye nikuchambe had usahau jinsia yako mbwa wewe
Best punguza hasira lete ubuyu siri wanaziweka nje ni wao [emoji23][emoji23]
 
According to international sources Tanzania tunae billionea mmoja tuu ambae ni Muhammed dewji tuu. Labda useme Diamond ni millionaire tutauelewa. Diamond kuna matajiri wengi tuu wa mikoani wanamwacha mbali Sana
Kwahyo bakhresa sio billionea?
Shoo moja uingeleza anapiga kwa milion 160..Sasa shoo kumi tu ana billioni mfukon
Acha zalau bloo mondi ni billionea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahyo bakhresa sio billionea?
Shoo moja uingeleza anapiga kwa milion 160..Sasa shoo kumi tu ana billioni mfukon
Acha zalau bloo mondi ni billionea

Sent using Jamii Forums mobile app
Billionea Tanzania ni Muhammed dewji tuu tena ndio billionea pekee Africa mashariki na Kati. Bakhresa ni millionaire. Tafuta takwimu Kwanza . Hata kwenye wa Tanzania Mondi hayumo kwenye list. Mondi sio billionea.
 
Kabla ya hapo walikatiwa maji wiki mbili wanahaha kuyarudisha.

Queen alizidi mashauzi full kumrusha bi mkubwa wakati hela za isihaka zinatoka kwa bi mkubwa.

Ila Zari kauzu sana,kaja bongo hata kwenda kumuona mzazi queen waaapiii,bila kusahau kwa yuda aiseee
 
Wewe unaongelea sijui currency gani mimi naongelea shilingi...Hapo ndo lugha gongana.

kishillingi sasa hata huyo Mo ni trillionea
 
Niko hapa najiuliza kwamba Darleen na mumewe hawana hela ya kodi?
Basi muziki wa bongo itakuwa kazi ya KIFALA sana
Muziki bongo hauna hela wasanii ukiona Wana show off Ila Wana Hali mbaya ya kiuchumi wengi walikuwa mapunda Tu mjini. So queen naye njaa Kali hafu show off nyingi Mara harusi baby shower arobaini tu ya mwanawe alikopa, hafu why ukaishi kwenye nyumba expensive huku kipato majanga. Hela tu ya pampasi Hana ananunua za mia tano
 
Kabla ya hapo walikatiwa maji wiki mbili wanahaha kuyarudisha.

Queen alizidi mashauzi full kumrusha bi mkubwa wakati hela za isihaka zinatoka kwa bi mkubwa.

Ila Zari kauzu sana,kaja bongo hata kwenda kumuona mzazi queen waaapiii,bila kusahau kwa yuda aiseee
Queen tangu kodi imshinde kawa mpole vijembe kwa mke mkubwa vimeisha, hela tu ya diapers za mtoto Hana, according to shilawadu
 
Back
Top Bottom