Queen Darleen ahama kwenye nyumba ya Mbezi Beach arudi kwao Sinza

Queen Darleen ahama kwenye nyumba ya Mbezi Beach arudi kwao Sinza

Pumbav wewe TANZANIA inakosa watu wenye dola 500,000 hiyo si ndio Bilion 1 kwa tsh.

Ndio maana nakwambia hauna exposure tembea uone zwazwa wewe.
We jamaa ni mbishi tu,jamaa anachokuambia ni sawa.ubilionea ukiuangalia nje ya Dollars,nchi nyingi basi zina matrilionea.....Zimbabwe mfano..
Wewe ni Muha wa wapi!?
 
Ewaaaaa wewe ndo nakuelewa kwenye udaku uletwe na Pisi, kuna mwingine alianza kuingilia kitengo chako
 
We jamaa ni mbishi tu,jamaa anachokuambia ni sawa.ubilionea ukiuangalia nje ya Dollars,nchi nyingi basi zina matrilionea.....Zimbabwe mfano..
Wewe ni Muha wa wapi!?
Wewe ni mpumbavu angekuwa na Trillion asingetembeza bakuli kwa wwnasimba wachangie milion 300 ya faini kwa kumsajili kichuya
 
We jf ungekua USO kwa USO mpaka sasa ungekua na ngeu za kutosha.hata muhimbili staff wote wangekua washakukariri hawajisumbui hata kujaza majina[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yan we acha tu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Atakuwa Kama uncle shamte tu......maana uncle sijui Kama hata bajeti ya nyumba huwa inamuhusu

Budget ya nyumba ya nini wakat kula kulala bure, kuna wanaume wana bahati mjini hapa khaa

Kazi ya shamte ni kukatika viuno tu , pesa anakula za Diamond

Ila ninachompendea shamte ni kumheshim baba Diamond , yuko Peace sana yule Jamaa , Mama Diamond pale alipata serengeti boy wa ukwee
 
According to international sources Tanzania tunae billionea mmoja tuu ambae ni Muhammed dewji tuu. Labda useme Diamond ni millionaire tutauelewa. Diamond kuna matajiri wengi tuu wa mikoani wanamwacha mbali Sana
Nenda usome vizuri hiyo source, wao walimainisha $billionaires na sio tsh billionaires, kwa hiyo unataka kusema Liazer sio Bilionea!
 
Sawa upo sahihi kwa akili zako,ila ni ujinga kuanza kufuatilia maisha ya mtu anavyoishi na utabaki kuwa mjinga kama hutabadilika.......akipanga Mbagala,Mbezi au Tandale we inakusaidia nini?
tuko na ww bado HUKU ULIINGIAJE WW YUDA ESKARIOT.
 
We jamaa ni mbishi tu,jamaa anachokuambia ni sawa.ubilionea ukiuangalia nje ya Dollars,nchi nyingi basi zina matrilionea.....Zimbabwe mfano..
Wewe ni Muha wa wapi!?
Kwamba jamaa inawezekana akawa ni muha ? Hahahaa
 
Sio kweli my dear hiii story ni ya uongo hajarudi kwao atakua yupo hukohuko au amepanga mhl pengine ila kwao sinza 100% sure haishi hapa mm ninapokaaaa na hyo nyumba ya mama ake tunashea ukuta tungemuona ata akienda dukani bc km ckwenda dukani tungeckia ata mtt akilia

Na hawezi kuishi apo hyo nyumba ina matatizo ya kujaaa maji kipindi cha mvua ata ikinyesha mvua ya 5 hrs panajaaaa maji kwa status yake hawezi kukaaaa apo !!!
 
Darleen ana status gani?
 
Back
Top Bottom