Queen Darleen ahama kwenye nyumba ya Mbezi Beach arudi kwao Sinza

Queen Darleen ahama kwenye nyumba ya Mbezi Beach arudi kwao Sinza

Si muajiriwa wa wasafi huyo!!? Hapo ndo msemo wa waja unapotimia wanasema pale njaa sana ila ujanja wako tu unaweza kukusaidia. Vanny boy nae alipanga ghorofa kodi awamu moja tu ikamshinda

Iyobo mpaka kala mtoso kwa aunt,pesa tatizo

Lukamba choka mbaya mke anamsaidia napo zipu mbovu
Queen tangu kodi imshinde kawa mpole vijembe kwa mke mkubwa vimeisha, hela tu ya diapers za mtoto Hana, according to shilawadu
 
Sawa upo sahihi kwa akili zako,ila ni ujinga kuanza kufuatilia maisha ya mtu anavyoishi na utabaki kuwa mjinga kama hutabadilika.......akipanga Mbagala,Mbezi au Tandale we inakusaidia nini?
We kweli madenge...ili jukwaa ni la watu maarufu...yani hata akijamba tu wenzio wanamuandika..ss ww na maadili yako mpelekee mwalimu wa nidhamu umu ni ubuyu tu...wenzio kama hatuwaelewi tunajikataa ki-j-mo tunawaachia na umbea wao!
 
Kabla ya hapo walikatiwa maji wiki mbili wanahaha kuyarudisha.

Queen alizidi mashauzi full kumrusha bi mkubwa wakati hela za isihaka zinatoka kwa bi mkubwa.

Ila Zari kauzu sana,kaja bongo hata kwenda kumuona mzazi queen waaapiii,bila kusahau kwa yuda aiseee

Queen itakua alienda, yule anamkubal sana Zari
 
Aisee kinacho sikitisha zaidi ni kuona wanafanya sherehe za gharama na kusahau vitu vya msingi kama nyumba na Diamond angelikuwa na akili zaidi haikutakiwa hata siku moja ndugu yake au mtu wake wa karibu kudharirika kisa kodi au nyumba. kama kuna zawadi angewapa hawa ndugu zake wa karibu basi ni nyumba si kingine na biashara za msingi kuwafanya waishi sio kuwaletea macamera na masherehe ya gharama yasiyo wasaidia,

ni aibu sana
 
Si muajiriwa wa wasafi huyo!!? Hapo ndo msemo wa waja unapotimia wanasema pale njaa sana ila ujanja wako tu unaweza kukusaidia. Vanny boy nae alipanga ghorofa kodi awamu moja tu ikamshinda

Iyobo mpaka kala mtoso kwa aunt,pesa tatizo

Lukamba choka mbaya mke anamsaidia napo zipu mbovu
Duh noma Sana show off zitawa cost Sana Hawa wasanii njaa yao ni Kali na huyo queen darling hata kuimba hajui
 
Zari hasogei sehemu bila picha. Tungeona picha. Sema hakuja kujenga undugu zaidi ya urafiki na connection kama za noel na millen
Queen itakua alienda, yule anamkubal sana Zari
 
Sawa upo sahihi kwa akili zako,ila ni ujinga kuanza kufuatilia maisha ya mtu anavyoishi na utabaki kuwa mjinga kama hutabadilika.......akipanga Mbagala,Mbezi au Tandale we inakusaidia nini?
Haaaaa halooooo
 
Billionea Tanzania ni Muhammed dewji tuu tena ndio billionea pekee Africa mashariki na Kati. Bakhresa ni millionaire. Tafuta takwimu Kwanza . Hata kwenye wa Tanzania Mondi hayumo kwenye list. Mondi sio billionea.
Wanafunzi wa chuo mna akili fupi Sana.

Pale kariakoo Kuna watu kibao wana hizo Bilion Kama upupu na Wala hawajitangazi.

Nenda Geita uone vijana wadogo mabilionea wa madini.

Shuka Tunduma uone mabilionea.

Nenda kwenye mabonde ya Usangu uone mabilionea.

Hivi yule laizer aliepata tanzanite ya Bilion 3 sio Bilionea?

Tatizo mnakaa kwa masheji zenu mnaangalia Forbes wakitoa list za matajiri TANZANIA mnabaki kuona watu wote sio mabilionea.
 
Una akili fupi Sana tena umenishusha mno Mimi sio mwanafunzi wa chuo. Chuo niliahamaliza miaka mingi Sana . Tunaposema billionaire tunahesabu in Us dollars Sio in Tanzania shillings. Pesa yetu haina thamani. Kwa nchi kama Zimbabwe basi utaenda ukaone billionaire wengi kuzidi Hata kuzidi developed countries kutokana na fedha Yao kushuka thamani Sana
 
Pumbav wewe TANZANIA inakosa watu wenye dola 500,000 hiyo si ndio Bilion 1 kwa tsh.

Ndio maana nakwambia hauna exposure tembea uone zwazwa wewe.
 
Zari hasogei sehemu bila picha. Tungeona picha. Sema hakuja kujenga undugu zaidi ya urafiki na connection kama za noel na millen

Nimeona millen kaanza mvalisha Zari, Zari na Noel ni mashost wa mda mrefu sana
 
Ila saiv wameujenga zaidi na vile hana mdomo kama yule mbaba mwenye saloon yake ya umbea. Millen alikua rafiki wa mbali kutuma zawadi tu kwa akina tiffa,nillan mara paap kaanza mvalisha.
Nimeona millen kaanza mvalisha Zari, Zari na Noel ni mashost wa mda mrefu sana
 
Muziki bongo hauna hela wasanii ukiona Wana show off Ila Wana Hali mbaya ya kiuchumi wengi walikuwa mapunda Tu mjini. So queen naye njaa Kali hafu show off nyingi Mara harusi baby shower arobaini tu ya mwanawe alikopa, hafu why ukaishi kwenye nyumba expensive huku kipato majanga. Hela tu ya pampasi Hana ananunua za mia tano
Kwani Yule mwanaume naye ni pangu pakavu!! Mi nlijua kaongeza mke mambo yake mazuri....mfyuuu!
 
Pumbav wewe TANZANIA inakosa watu wenye dola 500,000 hiyo si ndio Bilion 1 kwa tsh.

Ndio maana nakwambia hauna exposure tembea uone zwazwa wewe.
Mo ni bilionea wa US $...ni wabongo wachache sana wanaoweza kufikia kiwango cha ubilionea wa $.
 
Back
Top Bottom