Queen Darleen ahama kwenye nyumba ya Mbezi Beach arudi kwao Sinza

Yaaan hawa wasanii ni michosho San khaaaah, mbwembwe zote zile kumbe hat hela hawana msieeeeeeew.
 
Hiyo mvua ina ubaguzi sana, maji yanajaa kwao tu nyie kwenu wala??
 
Mkuu nachosikia sikia ni kuwa jamaa anawasapoti ndugu zake kama mambo za nyumba ila ni kwa kiwango cha kukaa maeneo ya kawaida tu ila sasa wao na umaharufu wao ndio wanafosi kukaa huko mbezi beach ambako ndugu yao anashindwa kuwasuport because that is due to their own fame.
 
Sawa upo sahihi kwa akili zako,ila ni ujinga kuanza kufuatilia maisha ya mtu anavyoishi na utabaki kuwa mjinga kama hutabadilika.......akipanga Mbagala,Mbezi au Tandale we inakusaidia nini?
Shigongo kawa tajiri hadi mbunge kwa kuandika gossip...utakuwa una stress ...
 
Shigongo kawa tajiri hadi mbunge kwa kuandika gossip...utakuwa una stress ...
Endelea kuhangaika na maisha ya watu badala ya kupambana na yako........eti unategemea kuwa tajiri....akili za kizezeta sana hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…