Queen Darleen ahama kwenye nyumba ya Mbezi Beach arudi kwao Sinza

Queen Darleen ahama kwenye nyumba ya Mbezi Beach arudi kwao Sinza

Yaaan hawa wasanii ni michosho San khaaaah, mbwembwe zote zile kumbe hat hela hawana msieeeeeeew.
 
Sio kweli my dear hiii story ni ya uongo hajarudi kwao atakua yupo hukohuko au amepanga mhl pengine ila kwao sinza 100% sure haishi hapa mm ninapokaaaa na hyo nyumba ya mama ake tunashea ukuta tungemuona ata akienda dukani bc km ckwenda dukani tungeckia ata mtt akilia

Na hawezi kuishi apo hyo nyumba ina matatizo ya kujaaa maji kipindi cha mvua ata ikinyesha mvua ya 5 hrs panajaaaa maji kwa status yake hawezi kukaaaa apo !!!
Hiyo mvua ina ubaguzi sana, maji yanajaa kwao tu nyie kwenu wala??
 
Aisee kinacho sikitisha zaidi ni kuona wanafanya sherehe za gharama na kusahau vitu vya msingi kama nyumba na Diamond angelikuwa na akili zaidi haikutakiwa hata siku moja ndugu yake au mtu wake wa karibu kudharirika kisa kodi au nyumba. kama kuna zawadi angewapa hawa ndugu zake wa karibu basi ni nyumba si kingine na biashara za msingi kuwafanya waishi sio kuwaletea macamera na masherehe ya gharama yasiyo wasaidia,

ni aibu sana
Mkuu nachosikia sikia ni kuwa jamaa anawasapoti ndugu zake kama mambo za nyumba ila ni kwa kiwango cha kukaa maeneo ya kawaida tu ila sasa wao na umaharufu wao ndio wanafosi kukaa huko mbezi beach ambako ndugu yao anashindwa kuwasuport because that is due to their own fame.
 
Sawa upo sahihi kwa akili zako,ila ni ujinga kuanza kufuatilia maisha ya mtu anavyoishi na utabaki kuwa mjinga kama hutabadilika.......akipanga Mbagala,Mbezi au Tandale we inakusaidia nini?
Shigongo kawa tajiri hadi mbunge kwa kuandika gossip...utakuwa una stress ...
 
Shigongo kawa tajiri hadi mbunge kwa kuandika gossip...utakuwa una stress ...
Endelea kuhangaika na maisha ya watu badala ya kupambana na yako........eti unategemea kuwa tajiri....akili za kizezeta sana hizi
 
Back
Top Bottom