Queen Darleen hebu mhurumie mke mwenzio; naye ana moyo

Queen Darleen hebu mhurumie mke mwenzio; naye ana moyo

Zurie

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2014
Posts
2,012
Reaction score
5,571
Queen Darleen,

1A8E111C-913E-43F7-8F18-AC7DA664A093.jpeg


Nadhani kama wanawake wa Kiislam walikuwa hawajawahi jua ugumu wa uke wenza sasa wanajionea dhahiri kupitia wewe.

Queen, kuwa na huruma we mama (maana hata sio dada, enzi niko darasa la 1 ulishashirikishwa wimbo na Mad Max)

Queen, huyo kijana ana mke mwingine usisahau. Wewe kila sentensi ina neno “Mume Wangu” huko Instagram. Utasema amekutoa bikra jamani.

Queen nasikia uliolewa kwa sababu Bi. mkubwa hajajaaliwa watoto. Basi mheshimu kidogo. Msiwe marafiki ila atleast jaribu kujiweka in her shoes. Sawa umesubiri sana kuolewa na huamini ila punguza kumlambisha ndimu mwenzio.

Sasa hapa chini ungempa na hongera mke mwenzio ingekuwaje kwani? Halafu kwenda kwenye post ya anniversary ya mwenzio na kuandika mambo ya Mme wangu inahusu?

Adjustments.JPG
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ukewenza sio mchezo shoga angu akakutupikia huko ila yeye kinyume mke mkubwa kabana mpaka penati mwezi unakata bwana hajaenda hafi huruma
 
Mimi mwanaume akiniolea mke mwenzangu.naaga naondoka kwa kweli.
Moyo huo wa uvumilifu huwa sina kabisa
Usifanye hivyo wife nia ni kusaidiana majukumu na mwenzio plz usiende
 
Back
Top Bottom