adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Fafanua mkuu.Love cannot be created or destroyed but it can be transformed from one woman to another.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fafanua mkuu.Love cannot be created or destroyed but it can be transformed from one woman to another.
Mimi mwanaume akiniolea mke mwenzangu.naaga naondoka kwa kweli.
Moyo huo wa uvumilifu huwa sina kabisa
Energy -------------Love cannot be created or destroyed but it can be transformed from one woman to another.
Hapana kwa kweliJifundishe kushea dada
Hapana kwa kweliJifundishe kushea dada
Weweeeee!!Mimi mwanaume akiniolea mke mwenzangu.naaga naondoka kwa kweli.
Moyo huo wa uvumilifu huwa sina kabisa
Inatakiwa kila mke unambomoa kwenye chumba chake......Kama hawaruhusiwi basi haina maana.
Mimi mwanaume akiniolea mke mwenzangu.naaga naondoka kwa kweli.
Moyo huo wa uvumilifu huwa sina kabisa
Inatakiwa kila mke unambomoa kwenye chumba chake......
kachumbari hairuhusiwi
Mbona kama umekasirika sanaSasa hapa chini ungempa na hongera mke mwenzio ingekuwaje kwani? Halafu kwenda kwenye post ya anniversary ya mwenzio na kuandika mambo ya Mme wangu inahusu?
mapenzi kupetipeti we hupendi mwenzako kumuita mume wake kimahaba..?
Afu swala la kushirikishwa na Max de sio ndio ukubwa anaweza akawa mwenzako usijidogoshe mwenzako ameanza aso akiwa mdogo
Mbona kama umekasirika sana
Huyo darleen anapata ujasiri wa kumwita mume wangu kwa sababu ni kweli mumewe kisheria hajaiba
Huwezi kumpangia mwenzio cha kuandika,subiri upate wako wa peke yako kama kadi ya ccm
labda tumuulize dokta mwakaHivi threesome wanaruhusiwa?
hivi hiyo nyimbo ya mad max ft queen naweza ipata wapi, naitafuta kwa muda mrefu sanaQueen Darleen,
View attachment 1453141
Nadhani kama wanawake wa Kiislam walikuwa hawajawahi jua ugumu wa uke wenza sasa wanajionea dhahiri kupitia wewe.
Queen, kuwa na huruma we mama (maana hata sio dada, enzi niko darasa la 1 ulishashirikishwa wimbo na Mad Max)
Queen, huyo kijana ana mke mwingine usisahau. Wewe kila sentensi ina neno “Mume Wangu” huko Instagram. Utasema amekutoa bikra jamani.
Queen nasikia uliolewa kwa sababu Bi. mkubwa hajajaaliwa watoto. Basi mheshimu kidogo. Msiwe marafiki ila atleast jaribu kujiweka in her shoes. Sawa umesubiri sana kuolewa na huamini ila punguza kumlambisha ndimu mwenzio.
Sasa hapa chini ungempa na hongera mke mwenzio ingekuwaje kwani? Halafu kwenda kwenye post ya anniversary ya mwenzio na kuandika mambo ya Mme wangu inahusu?
View attachment 1453134