Queen Darleen hebu mhurumie mke mwenzio; naye ana moyo

mapenzi kupetipeti we hupendi mwenzako kumuita mume wake kimahaba..?
Afu swala la kushirikishwa na Max de sio ndio ukubwa anaweza akawa mwenzako usijidogoshe mwenzako ameanza aso akiwa mdogo
 
mwambieni huyo dada ajiibe aende kwa Mwamposa miezi miwili mingi anatema mate...la sivyo atanyanyasika sana
 
Sasa hapa chini ungempa na hongera mke mwenzio ingekuwaje kwani? Halafu kwenda kwenye post ya anniversary ya mwenzio na kuandika mambo ya Mme wangu inahusu?
Mbona kama umekasirika sana
Huyo darleen anapata ujasiri wa kumwita mume wangu kwa sababu ni kweli mumewe kisheria hajaiba
Huwezi kumpangia mwenzio cha kuandika,subiri upate wako wa peke yako kama kadi ya ccm
 
mapenzi kupetipeti we hupendi mwenzako kumuita mume wake kimahaba..?
Afu swala la kushirikishwa na Max de sio ndio ukubwa anaweza akawa mwenzako usijidogoshe mwenzako ameanza aso akiwa mdogo

Alianza hustle akiwa na miaka 6 kama nilivyokuwa au? Basi sawa!
 
Reactions: amu
Mbona kama umekasirika sana
Huyo darleen anapata ujasiri wa kumwita mume wangu kwa sababu ni kweli mumewe kisheria hajaiba
Huwezi kumpangia mwenzio cha kuandika,subiri upate wako wa peke yako kama kadi ya ccm

Kwamba una uhakika sina mume wangu peke yangu?
 
hivi hiyo nyimbo ya mad max ft queen naweza ipata wapi, naitafuta kwa muda mrefu sana

aim for the stars
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…