Queen Darleen hebu mhurumie mke mwenzio; naye ana moyo

Sema mke mkubwa chombooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyo jamaa nae kwenda kuparamia lishankupe kama hilo ndiyo nin sasa?
 
[SUP]Kwa upuuzi anaofanya huyu bidada mke mkubwa mstaarabu Sana.[/SUP]
 
Mimi mwanaume akiniolea mke mwenzangu.naaga naondoka kwa kweli.
Moyo huo wa uvumilifu huwa sina kabisa
Usimalize maneno yote dada dunia hii,
Unaweza kuolewa ndoa ya kwanza na mume bahati mbaya akafariki, unashangaa kila anayekuja anataka ndoa ya pili, sasa hapo ww ndie utayekua unataka ndoa, je mke wa kwanza akisema maneno hayo unayosema utapata stara?
Hatuombei ila usimalize maneno yote
 
Mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…