Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Queen Darleen awarushia vijembe GenZ awaambia waseme weeee watakuja nyamaza ,hawamshughulishi na wakitaka kupi
gana waende
gana waende
Yeye ni Nani pale Wasafi?She's making it worse for the whole WCB.
Wananchi hawawezi kuwagusa viongozi hata kwenye mikutano yao sababu ya ulinzi. Ila hawa wasanii wanafikiwa.
Zuchu shuhuda.
Chako ni chako ndo wapi huko mkuu.. Nitafute hela nikainunue hiyo inayopiga makelele hapo.. Ndo vitu vyangu.Queen Darleen ndo nani kati ya wale wanaojiuza huko chako ni chako?
Queen Darleen awarushia vijembe GenZ awaambia waseme weeee watakuja nyamaza ,hawamshughurishi na wakitaka kupi
View attachment 3513896
gana waende
She is asking for trouble, asije ingiza huruma wana wakimfikiaQueen Darleen awarushia vijembe GenZ awaambia waseme weeee watakuja nyamaza ,hawamshughurishi na wakitaka kupi
View attachment 3513896
gana waende
Yeye ana impact gani lingekuwa swali zuri zaidi.Yeye ni Nani pale Wasafi?
Dodoma mkuu.Chako ni chako ndo wapi huko mkuu.. Nitafute hela nikainunue hiyo inayopiga makelele hapo.. Ndo vitu vyangu.
huo mda tafuta cha kufanya ufanikiwe, umaskini ndo unaokufanya ujione kama unamuweza kila mtuShe's making it worse for the whole WCB.
Wananchi hawawezi kuwagusa viongozi hata kwenye mikutano yao sababu ya ulinzi. Ila hawa wasanii wanafikiwa.
Zuchu shuhuda.
Aiseeee.. hapo ntafeli. Ntatisha buguruni tuDodoma mkuu.
Ukipata nafasi usisite kupatembelea chako ni chako mkuu.Aiseeee.. hapo ntafeli. Ntatisha buguruni tu
Nadhani buguru patamaliza kiu yango.. Hapo chako ni chako hapana.Ukipata nafasi usisite kupatembelea chako ni chako mkuu.