Queen Darleen: Semeni mtakuja kunyamaza, hamnishughulishi na mkitaka kupigana njoo

Queen Darleen: Semeni mtakuja kunyamaza, hamnishughulishi na mkitaka kupigana njoo

Wa kumlaumu ni mume wake, asichokijua hii inahamia mpaka kwenye familia yake, Sasa ngoja watu wahamishie mambo yao kwa Isihaka ili ajue maana halisi ya kiburi ni nini, Mumewe akiadhibiwa kwa ujinga wake atakaa sawa mbona tunamjua vizur hata baba yake ndio ile pangu pakavu na yeye ndio hivyo tena sanaa kainyea mwenyewe
 
Hawa watu kuna mda wana dharau. Wakiumwa utaskia " watanzania naombeni msaada." Sema fresh tu.
 
Back
Top Bottom