Queen Massanja si useme tu ukweli kuwa Vijana wakipanda hawashuki haraka na hutaka kusugua vilivyo ili Hela yao iende sawa?

Queen Massanja si useme tu ukweli kuwa Vijana wakipanda hawashuki haraka na hutaka kusugua vilivyo ili Hela yao iende sawa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,685
Reaction score
128,178
QUEEN: BORA DR. MWAKA VIJANA HAPANA
_
Msanii wa bongo Movie Queen Masanja ambaye ni Ex-Wife wa Dr. Juma Mwaka amesema bora arudiane na mumewe kuliko kuendelea kuwa na mahusiano ya kimapenzi na vijana wadogo wadogo.

"Bora kurudi kwa mume wangu kuliko hawa vijana wa siku hizi, Vijana ni pasua kichwa sitaki hata kuwasikia kabisa."- Amefunguka Queen Masanja.

Issue hiii imekuja baada ya habari kuenea kuwa penzi lake na mwanamuziki Rocka limeisha vunjika.

Yaani kabisa GENTAMYCINE nikuhonge / nikupe Hela yangu niliyoitaabikia halafu ukinipanulia nikuchekee au nifanye masihara nawe? Asanteni sana Vijana ambao mkipata nafasi ya Kupanuliwa na hawa Wadada wa Mjini nanyi huwa hamfanyi Makosa katika Kuwashughulikia Kunakotukuka Kitandani.

Kuna Mmoja nilimpelekea Moto hivi karibuni hadi nilipomaliza akaomba nimuwashie Feni zote mbili ile ya Pangaboi na ya Chini huku akiwa ameiningíniza kiupande Mbunye yake upepo umpige vizuri na ipoe. Tokea siku ile hadi leo nikimpigia Simu aje tena anakataa.
 
Back
Top Bottom