QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

najuta kwa nini niliaanza hii story,kweli wahenga waliosema cha mtu mavi! na vya bure vinaua hawakukosea.
una bembeleza mtu mpaka unajiona choo
 
Kuna member nimemtumia humu aiweke sio mbaya
We mwenyewe huna tofauti na lege wote wazinguaji huyo mtu toka umpe atume hapa yuko wapi?? na wewe ulimtumia kwa njia gani hiyo hadi ushindwe kuia attach hapa
 
Leo nawaahidi kuweka mwendelezo wa season 3 jama mda utaruhusu mpaka mwisho kabisa.kama ssito weka modo mnipige BAN ya miezi mitatu.
Mkuu wewe ni JEMBE tunakusubiri sana LEGE tynaomba usipigwe ban tutazimia
 
We mwenyewe huna tofauti na lege wote wazinguaji huyo mtu toka umpe atume hapa yuko wapi?? na wewe ulimtumia kwa njia gani hiyo hadi ushindwe kuia attach hapa
Usiseme hivyo mkuu.unakuwa unakosea sana ukisema hivyo.harafu ule mwendo wa peniela ulikuwa mzuri sana.now kwa kuwa wadau mwataka vyote kwa pupa haina shida naweka mwendelezo mwanzo mwisho harafu mapumziko yatakuwa marefuuuuuuu sana zaidi.

Mm nilikuwa nafanya vile ili kubalansi mambo.

Na mambo yanaweza kwenda mrama zaidi maana watu wamefika mpaka jikoni na kumtumia maneno mpishi na jinsi tunavyo faidi kwa bureee pishi lake
 
Swala la Ban halipo LEGE mkuu naomba sana sana usiongee hiyo issue
 
Usiseme hivyo mkuu.unakuwa unakosea sana ukisema hivyo.harafu ule mwendo wa peniela ulikuwa mzuri sana.now kwa kuwa wadau mwataka vyote kwa pupa haina shida naweka mwendelezo mwanzo mwisho harafu mapumziko yatakuwa marefuuuuuuu sana zaidi.

Mm nilikuwa nafanya vile ili kubalansi mambo.

Na mambo yanaweza kwenda mrama zaidi maana watu wamefika mpaka jikoni na kumtumia maneno mpishi na jinsi tunavyo faidi kwa bureee pishi lake
Mkuu LEGE achana na watu wenye negative attitude....hawatakusaidia.Sisi tupo tunakusupport sana JEMBE.
 
Usiseme hivyo mkuu.unakuwa unakosea sana ukisema hivyo.harafu ule mwendo wa peniela ulikuwa mzuri sana.now kwa kuwa wadau mwataka vyote kwa pupa haina shida naweka mwendelezo mwanzo mwisho harafu mapumziko yatakuwa marefuuuuuuu sana zaidi.

Mm nilikuwa nafanya vile ili kubalansi mambo.

Na mambo yanaweza kwenda mrama zaidi maana watu wamefika mpaka jikoni na kumtumia maneno mpishi na jinsi tunavyo faidi kwa bureee pishi lake

Kaka Wazoee tu Watu ni wakorofi
Huyo anaejitapa kuwa anayo yote Alikuwa wapi kuiweka Kabla yako

Mambo mengine Ni Sifa za Kijinga

Tupia ya kututosha Kwa leo kusha Doze nyingine Kesho Lege
 
Tobaaaaaaa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] watu nomaaa ....sasa wakiharibu pishi tutakula nn [emoji87]
 
Back
Top Bottom