QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

Tupo pamoja wakuu.sitaki kuahidi ni lini siku kamili lakini sio mda mambo yatakuwa hewani na huu ukimya au chelewa chelewa imesababishwa n baadhi ya wadau humu.ila msiwe n wasi hata iwe kwa kuchelewa vipi mzigo lazima nitauweka n.story lazima iishe
Sawa
 
Pamoja sana subira ipo tena ya kiwango cha juu.
 
lege uwe unakuja basi tunapiga hata stori tu
itapunguza arosto
 
Kiji week end mwanzo hichi leo nipo na potezea mawazo hapo
 
Attachments

  • 1495209981664667336658.jpg
    1495209981664667336658.jpg
    114.2 KB · Views: 179
kaeni mkao wa kula story nyingine toka kwa mtunzi yule yule aliyetunga peniela now kaja na kitu kiitwacho queen monica. kutana na kijana AUSTIN JANUARY mtanashati na jasusi hatari anafanya mambo makubwa sana.

ALBERTOS kundi hatari linalotaka kuitawala dunia limeingia pia tanzania
I want to read full story of Paniela where can I get the book?
 
Kitabu hakuna mkuu lakini ukitaka story utaipata soft copy.mwanzo mwisho..

Au hata hapa jf ipo kama unaweza unaweza isoma pia
 
mkuu hakuna ratiba hapa nashusha mzigo mfululizo ratiba yako mwenyewe unapopata mda wa kuisoma tuu hivyo ratiba jipangie mwenyewe kila siku nitashusha mzigo wa maana. na hakuna kukwama kama ilivyotokea kwenye peniela
OK poa
 
Back
Top Bottom