hahahaMkuu usiwe na wasi dude linaaamshwa nishaazima laptop hapa naseti mambo mkuu
Pamoja sana LEGEMkuu usiwe na wasi dude linaaamshwa nishaazima laptop hapa naseti mambo mkuu
ipo episode ya ngapiPitia Kikosi Cha Kisasi,mualike na Tumosa.Kwa sababu Lege Akiahidi Atimizi sijui atajibu nn kwa muumba wake kwa kutotimiza ahadi.
sawa lege pole sanaWakuu naomba mnisamehe bulee na kibaya zaidi ni kuwa niliwaahidi lkn mbaya saidi ni kuwa laptop yangu ninayo itumia imekufa.kwanza ilianza kwa kusima baada ya mda ikawa inazidi kupunguza mda wa kujizima haikai sana inazima.mwishowe jana ndio imegoma kabisa kuwaka but baada ya kuhangaika nayo ikaonekana kuwa processor imekufa.so hapo nikawa sina ujanja na ndio sababu hiyo iliyonifanya nisiweke mwendelezo but all in all nimeazima now hapa laptop nataka nijitahidi niiweke season 4 yote maana najua wadau mnakiu sana ndio maana mizuka inawapanda na kumwaga lawama na kutoa kauli kaki msiwe na wasi tupo pamoja jf daima.
Burudani hapa ni free .
Mkuu ni kweli LEGE hajawahi kukuangusha au unampamba tu? Kuwa mkweli Mungu anakuonaKaribu sana lege hujawahi kuniangushaa tunakusubiria mkuu
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Pitia Kikosi Cha Kisasi,mualike na Tumosa.Kwa sababu Lege Akiahidi Atimizi sijui atajibu nn kwa muumba wake kwa kutotimiza ahadi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ila lege mvumilivu sanaMkuu ni kweli LEGE hajawahi kukuangusha au unampamba tu? Kuwa mkweli Mungu anakuona
Badoo anaazimaa laptop tusbir
hahaa et hajawah kukuangusha wakt tumesoota almost a month... co kwa kujipa moyo huko[emoji12]Karibu sana lege hujawahi kuniangushaa tunakusubiria mkuu