Sawa sawa kiongoziWAKUU MZIGO NAUBWAGA LEO HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE..NAWAHI KURUDI HOME ILI NIKOMAE MPAKAA NAMALIZA SEASON 5.MPAKA MWISHO WA RIWAYA HII
Lege nakukumbusha tu... uongo dhambi.. sijui sasa kama itakuwa uongo.. utamwambia nini mungu ???Hahahahaha mkuu.usiwe na wasi kabisa na mimi.sihawahi anzisha kitu kikaishia katikati kazima nikimalizie mpaka mwisho kabisaaaaaa.
Siku mzigo nadondosha hapa nitafanya kali ya hatari sito ongea nita liamsha dude mwanzo mwishoo.
[emoji144] [emoji144] [emoji144]WAKUU MZIGO NAUBWAGA LEO HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE..NAWAHI KURUDI HOME ILI NIKOMAE MPAKAA NAMALIZA SEASON 5.MPAKA MWISHO WA RIWAYA HII
Team popo[emoji144] [emoji144] [emoji144]
Kwa chaaaatiiiii[emoji144] [emoji144] [emoji144]
MweeeKwa chaaaatiiiii
Ujiandae kisaikolojia kusubiri hadi saa 8 usikuMweee
We usijali mkuu Lege tumeshajiandaa kisaikolojia ikikosekana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Naona maeneo , mwenge hapa umeme umekatika chap sijui huko.ninakokwenda
Unajitihada kubwa kazi nzuri imesimama vyema sana but jifunze pia kupunguza ahadi zisizotekelezeka kwa wakati ili uzidi kuimarika na kuwa mtu bora kabisa.WAKUU MZIGO NAUBWAGA LEO HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE..NAWAHI KURUDI HOME ILI NIKOMAE MPAKAA NAMALIZA SEASON 5.MPAKA MWISHO WA RIWAYA HII