QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

Hahahahaha mkuu.usiwe na wasi kabisa na mimi.sihawahi anzisha kitu kikaishia katikati kazima nikimalizie mpaka mwisho kabisaaaaaa.

Siku mzigo nadondosha hapa nitafanya kali ya hatari sito ongea nita liamsha dude mwanzo mwishoo.
Lege nakukumbusha tu... uongo dhambi.. sijui sasa kama itakuwa uongo.. utamwambia nini mungu ???
 
WAKUU MZIGO NAUBWAGA LEO HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE..NAWAHI KURUDI HOME ILI NIKOMAE MPAKAA NAMALIZA SEASON 5.MPAKA MWISHO WA RIWAYA HII
[emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
DAAA HAKUNA JINSI HAPA ITABIDI KUSUBILI TUU UMEME UMEKATIKA YAWEZEKANA NI MAENEO MENGI YA JIJI SINZA MWENGE TANGI BOVU HAKUNA UMEME.VIPI ULIPO UKO
 
Huku umeme upo Mkuu lege maeneo yote ya jeti lumo vingunguti tazara Buguruni kiwalani yote ni full umeme
 
WAKUU MZIGO NAUBWAGA LEO HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE..NAWAHI KURUDI HOME ILI NIKOMAE MPAKAA NAMALIZA SEASON 5.MPAKA MWISHO WA RIWAYA HII
Unajitihada kubwa kazi nzuri imesimama vyema sana but jifunze pia kupunguza ahadi zisizotekelezeka kwa wakati ili uzidi kuimarika na kuwa mtu bora kabisa.
Peace upon you kaka Lege[emoji106]
 
Back
Top Bottom