Leo nimeamka na luge kwanza namshukuru kwa stori kali
Ila tuweke manjonjoo mnayo yakumbuka hapa. Ni utani tu lakini.
Mambo kumi
1.wakuu umeme mwenge hakuna
2. Ndo nimefika nyumbani muda wa wanga naweka sasa hivi
3. Kaeni mkao wa kula wakuu ndo naweka
4. Wakuu laptop imeharibika chaji
5. Nipo bize sana waulizeni wanaonifahamu.
6. Wakuu mtunzi anamalizia kuweka mambo sawa.
7. Narusha baada ya swala
8. Ndani ya dkk 10 tu naweka mzigo
9. Tukutane muda wa wanga
10. Nilikuja ila nikabanwa na usingizi mkubwa sana wakuu