Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Search utaipata. IBRA anaumwa hajapost story tangy June 28.Wakuu nauliza ile stry ya ntakupata tu ya ibra imeftwa???maana sioni axee kwa wanaofuatilia ile stry pls nijulishen maana na wik sas sioni
Dah inasemekana hvo inahuzunisha sanaEti jmn Iv ni kweli Ibra amefariki??
mbududa kwan jtatu c imeshapita wng? km vip fanya kweli basiiiLege atamalizia usiku wa wanga, akishindwa jumatatu nitamalizia
Mbona tayari alitupia j3mbududa kwan jtatu c imeshapita wng? km vip fanya kweli basiii
Embu acheni masihara basi, jamani[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Ni kweli mtunzi wa Simulizi ya Nitakupata tu amefariki
naipataje hyo seasonb6TAARIFA KUTOKA MASIMULIZI
TUNAKUTAARIFU NDUGU MSOMAJI KWAMBA SIMULIZI YA
QUEEN MONICA SEASON 6
TAYARI IMETOKA NA WAWEZA KUWASILIANA NASI KUIPATA.
Dah so sad...Apumzike kwa Amanindio amefariki mr ibrahim masimba r.i.p
Mkuu unauliza???au unatoa taarifa??Ni kweli mtunzi wa Simulizi ya Nitakupata tu amefariki