mkurya org.
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 1,571
- 1,695
Nadhani Mwisho ilikuwa season 7 basi tu mmeamua kuirefusha ili kwa wanaolipia mpige ela.Habari yako ndugu.
Tunapenda kukujulisha kwamba riwaya ya
*QUEEN MONICA SEASON 7*
imetoka na unaweza kuipata.
Utatuwia radhi ndugu msomaji sehemu ya 7 haitakuwa ya mwisho kama tulivyoahidi hii ni kwa sababu kuna baadhi ya matukio yangeondolewa na kupunguza msisimko wa riwaya hivyo kutakuwa na sehemu ya 8 itakayokuwa ya mwisho ili uweze kupata kila tukio lililomo katika hadithi.
Ahsante.
Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
Tatizo sio buku 3 mkuu tatizo wenyewe ndio walihamasishaa kuwa mtunzi achangiwe baada ya kuchangia wachangiaji wamepata number hapa hapa leo wachangiaji wanaonekana vimbele mbele kweli mpaka utimie kuitwa binadamu mhhh kuna kazi kubwa sana niwakusamehewaa tuBuku tatu hatutaki foleni, tumeisha maliza kuisoma.
Basi sawa acha sie wafoleni tuendelee kusubiliBuku tatu hatutaki foleni, tumeisha maliza kuisoma.
mbududaaaaaSEASON 7 dah mzigo mtamu na umeishia patamu
Nambie mtt mzuri Shuniembududaaaaa
Fanya yako mkuu tushushieSEASON 7 dah mzigo mtamu na umeishia patamu
Shunie mamy utanisitua lege akiweka hiyo S7 hapaBasi sawa acha sie wafoleni tuendelee kusubili
Tushushie basi mbududa jamaanNambie mtt mzuri Shunie
Haaa haaMmh anza basi
Yaan hii collabo sio ya mchezoo. Nimejikuta naitaman kazi ya ujasusi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu Patrick (mtunzi) nilikuwa namchukulia poa ila kwa jinsi anavyodadavua na alivyopangilia mtiririko wa matukio yuko vizuri asee...
Kama kuna Bingwa wa Taharuki basi ye ni Hodari wa Taharuki...
Daniel, Job na Austin ndani ya kolabo moja
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Binafsi nimejikuta nachukia kazi hiyo. Haina maana kabisa. Kusalitiana nje nje.Yaan hii collabo sio ya mchezoo. Nimejikuta naitaman kazi ya ujasusi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app