QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

Habari yako ndugu.
Tunapenda kukujulisha kwamba riwaya ya
*QUEEN MONICA SEASON 7*
imetoka na unaweza kuipata.

Utatuwia radhi ndugu msomaji sehemu ya 7 haitakuwa ya mwisho kama tulivyoahidi hii ni kwa sababu kuna baadhi ya matukio yangeondolewa na kupunguza msisimko wa riwaya hivyo kutakuwa na sehemu ya 8 itakayokuwa ya mwisho ili uweze kupata kila tukio lililomo katika hadithi.
Ahsante.

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
Nadhani Mwisho ilikuwa season 7 basi tu mmeamua kuirefusha ili kwa wanaolipia mpige ela.

Sent from my SM-A510F using JamiiForums mobile app
 
Buku tatu hatutaki foleni, tumeisha maliza kuisoma.
Tatizo sio buku 3 mkuu tatizo wenyewe ndio walihamasishaa kuwa mtunzi achangiwe baada ya kuchangia wachangiaji wamepata number hapa hapa leo wachangiaji wanaonekana vimbele mbele kweli mpaka utimie kuitwa binadamu mhhh kuna kazi kubwa sana niwakusamehewaa tu
 
bs lege ndo atajizunguuusha wakat kishatutamanisha anatuchabo tu tunavotapatapa hahaaa ukuje lege

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Daaa hii story mnatoa kwa shida utamu wa kukata kataa
 
upload_2017-7-14_21-10-36.png
 
Huyu Patrick (mtunzi) nilikuwa namchukulia poa ila kwa jinsi anavyodadavua na alivyopangilia mtiririko wa matukio yuko vizuri asee...

Kama kuna Bingwa wa Taharuki basi ye ni Hodari wa Taharuki...
Daniel, Job na Austin ndani ya kolabo moja

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Yaan hii collabo sio ya mchezoo. Nimejikuta naitaman kazi ya ujasusi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
Yaan hii collabo sio ya mchezoo. Nimejikuta naitaman kazi ya ujasusi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
Binafsi nimejikuta nachukia kazi hiyo. Haina maana kabisa. Kusalitiana nje nje.
 
Back
Top Bottom