Mtepetallah
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 230
- 131
Tupe dozi lege Leo weekend
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee Ben amelea mtoto ambae si wake kwa miaka yote hiyo. Lakini sio mbaya, maana mama Monny alifanya yote hayo ili kumuokoa Ben mumewe, tatizo alinogewa wakaendelea kuvunja amri ya sita.Kwa hiyo Monica Ben sio babaake.Patamu hapo
Kweli mkuu, inaelekea kuwa tamu kama Peniela, ni kama zinaendana kwa namna fulani.Hii stori tamu sana naona kama inamfunika peniela au ndo kipya kinyemi?
Austin si ni mkwe wa Mr Boaz??!! Hii inamaanisha kuwa ashaoa, Au hujaliona hilo mkuu?I prophesize Monica anakuja kuolewa na Austin baada ya kupitia misukosuko kibao
Hahahaa alitaka kumvunja nguvu mzee Ben asiendelee na mpango wa Monica kuolewa na Zumo, mzee akawa mjanja, akambananisha ikabidi mama awe mpole ili kulinda family stability, maana mzee angeharibu kila kitu.Naitafuta sababu ya bimkubwa kuropoka mbele ya Ben kuwa mwana si wake bado sijajua lengo lake kama ni ku run the show sasa mbona tena kakubaliana na uamuzi wa Ben kuhusu rais wa ndombolo ya solo?
Yaah it sound like that ila yule bimkubwa ni mbandidu na anajua kucheza karata zake hivyo vidume viwili visimchukulie poa atapindua meza hapo washindwe cha kumfanya zaidi ya kwenda kumpigia magoti.Hahahaa alitaka kumvunja nguvu mzee Ben asiendelee na mpango wa Monica kuolewa na Zumo, mzee akawa mjanja, akambananisha ikabidi mama awe mpole ili kulinda family stability, maana mzee angeharibu kila kitu.
Kweli mkuu, mama Monica ni mtu hatari sana, na wote wawili wanamjua.Yaah it sound like that ila yule bimkubwa ni mbandidu na anajua kucheza karata zake hivyo vidume viwili visimchukulie poa atapindua meza hapo washindwe cha kumfanya zaidi ya kwenda kumpigia magoti.
Sawa mkuukuna kijikazi kidogo nafanya nikimaliza nitaweka mwendelezo wakuu mnivumilie kidogo
Tunakusubiri mkuukuna kijikazi kidogo nafanya nikimaliza nitaweka mwendelezo wakuu mnivumilie kidogo
kweli monica kama penielaOooh noooo imeishia pazuri.asante lege.sijui kwa nini Monica namfananisha na peniela ila Monica hagawi papuchi.
aiseeHahahaaaa Peniela kugawa ilikuwa ni kazi aliyosomea, alitengenezwa, na alikuwa mtamu balaa, ukigusa hutoki. Japo ni story lakini nilikuwa nawaonea wivu waliokuwa wanamkula, hahahahaa. Penny ni noma sana.