QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

Kwa hiyo Monica Ben sio babaake.Patamu hapo
Mzee Ben amelea mtoto ambae si wake kwa miaka yote hiyo. Lakini sio mbaya, maana mama Monny alifanya yote hayo ili kumuokoa Ben mumewe, tatizo alinogewa wakaendelea kuvunja amri ya sita.
 
Naitafuta sababu ya bimkubwa kuropoka mbele ya Ben kuwa mwana si wake bado sijajua lengo lake kama ni ku run the show sasa mbona tena kakubaliana na uamuzi wa Ben kuhusu rais wa ndombolo ya solo?
 
Hahahaa alitaka kumvunja nguvu mzee Ben asiendelee na mpango wa Monica kuolewa na Zumo, mzee akawa mjanja, akambananisha ikabidi mama awe mpole ili kulinda family stability, maana mzee angeharibu kila kitu.
 
Yaah it sound like that ila yule bimkubwa ni mbandidu na anajua kucheza karata zake hivyo vidume viwili visimchukulie poa atapindua meza hapo washindwe cha kumfanya zaidi ya kwenda kumpigia magoti.
 
Kweli mkuu, mama Monica ni mtu hatari sana, na wote wawili wanamjua.
 
Hahahaaaa Peniela kugawa ilikuwa ni kazi aliyosomea, alitengenezwa, na alikuwa mtamu balaa, ukigusa hutoki. Japo ni story lakini nilikuwa nawaonea wivu waliokuwa wanamkula, hahahahaa. Penny ni noma sana.
aisee
 
Back
Top Bottom