Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,841
- 4,797
Umeshakuja, nakumbuka ulivyokuwa msomaji mwaminifu wa penielaTunasubiria ila mambo vizuri yawe bampa to bampa. Unatiririka tu.mwanzo mwisho.breki ziwe fupi
Baba shushaaaa[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]now hakuna breki ni mbio zenu tuu mm nabwaga mzigo mwanzo mwisho then nyie ndio mkeshe mkitumbua macho
Kwa nini usibuni majina ya kikwetu kwetu...?? Jaribu kutafuta/kufikiria ila usirudie rudie ya kwenye bongo movie, itakuwa vizuri sana. Haya ni mawazo yangukaeni mkao wa kula story nyingine toka kwa mtunzi yule yule aliyetunga peniela now kaja na kitu kiitwacho queen monica. kutana na kijana AUSTIN JANUARY mtanashati na jasusi hatari anafanya mambo makubwa sana.
ALBERTOS kundi hatari linalotaka kuitawala dunia limeingia pia tanzania
kaeni mkao wa kula story nyingine toka kwa mtunzi yule yule aliyetunga peniela now kaja na kitu kiitwacho queen monica. kutana na kijana AUSTIN JANUARY mtanashati na jasusi hatari anafanya mambo makubwa sana.
ALBERTOS kundi hatari linalotaka kuitawala dunia limeingia pia tanzania
Unawezachukula simpo LEGE lakini kwa tunaomjua kashatufanya kitu mbaya aseee.Watu wamekalishwa mkao wa kula, wamenawa mpaka mikono imekauka, itabidi wanawe tena utakapoleta msosi.
Unawezachukula simpo LEGE lakini kwa tunaomjua kashatufanya kitu mbaya aseee.
Akiamua kutesa anatoa mateso kweli
Akiamua kuusuza moyo wako weeeeeeeeeeeh
Utazani kazaliwa korea drama,
Okopa san huyu mtu,.ukimshurutisha atakuletea kitu kibovu sijapata ona.Basi ngoja tumsubiri, maana hakuna namna tena.
Lege .. fanya mambo bana... lon sasa unatoa.... ili tujipange kbsa hyo siku nzmakaeni mkao wa kula story nyingine toka kwa mtunzi yule yule aliyetunga peniela now kaja na kitu kiitwacho queen monica. kutana na kijana AUSTIN JANUARY mtanashati na jasusi hatari anafanya mambo makubwa sana.
ALBERTOS kundi hatari linalotaka kuitawala dunia limeingia pia tanzania