QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

Nawaza tu nini kitatokea pale kijana mtanashati Austin a.k.a jasusi aliyebobea atakapokutana na mtoto mzuri Monica, maana anatakiwa kufanya uchunguzi(DNA) bila Monica mwenyewe kujua ili kupata uhakika kama kweli ni mtoto wa Mh. Rais.

Shughuli bado mbichi kabisa.

LEGE, mambo vipi mkuu?
 
Dah!aiseee..yan naisoma hii story kwa hisia kali mnoo..mpk najiona mimi ndo km austin vile[emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
 
Leegeee thanks even though ni vya kuunga unga but iam enjoying real.lini tena itaendelea ?
 
Mkuu LEGE mungu akujaze hekima na akubariki sanae
 
wale wa chakulalia wangine mtakikosa maana now ndio kwanza nafika home so wacha nifanye mchakato nijitahidi niweke hata 5 za kulalia. ila mkiona kimyaa msi mind coz kuna kijikazi kinaweza nifanya nishindwe kuleta muendelezoo
 
ila wacha nijitahidi kuweka nowmaana kesho haitawezekana sito pota mda kabisaa
 
LEGE ushakuwa mwanasiasa?! mbona ahadi hewa mkuu mpaka mishale hii!!
 
Ha haa haa Lege kuwaacha watu mataa ndo nini,pamoja na yote asante Lege kwa story nzuri
 
Back
Top Bottom