mtugani wa wapi huyo
JF-Expert Member
- Dec 5, 2012
- 1,239
- 1,475
Hahaha mkuu, Paulina ni mke halali kabisa wa Rais Zumo, ila hana uwezo wa kuzaa, inaonekana wamekubaliana bila kinyongo kwamba Zumo aoe mwanamke mwingine ili apate watoto. Ila Paulina ni wa kipekee sana.Kuna time nahisi Rais Zumo ana akili sana yawezekana huyo mwanamama Paulina akawa sio mkewe ila katengenezwa tu kumpanga Monica manake mke halali awe hivo kweli mhhhhh
wakuu leo maji yamezidi unga
hahaha huwezi kuyakimbia majukum mkuu .ukiikimbia riziki utakufa na njaa
hahahhhwakuu leo maji yamezidi unga
kwa simu eb jaribu kutumia jf applicationNaombeni kujuzwa jamani...
Hivi ukitaka kuquote unafanyaje? Mi inazingua au mpaka pc?