Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sicho alichotuahidi mwanzoni, kwahiyo we kaa utulie...Kwa niaba ya LEGE hii story ndio imeishia hapa. Haitaendelea tena kutokana na matatizo yaliyo nje ya uwezo, msiulize ni matatizo gani maana hayawahusu. Nitawajuza endapo kutakuwa na mabadiliko yoyote, kwani wote nimewaweka kwenye taglist yangu.
ASANTENI KWA SUBIRA NA UVUMILIVU WENU. KWANZA HAMLIPI HATA MIA NA WALA HAMCHANGII BUNDLE.
MUWE NA MCHANA MWEMA.
Hahaha we endelea kusubiri ahadiSicho alichotuahidi mwanzoni, kwahiyo we kaa utulie...
Sawa mkuu, ngoja nitayarishe miwani, na mimi natamani pasitosheHakunaga...
Jamaa hayupo hivyo.
Nyie tayarishen miwani coz akitokea hapa patakua hapatosh
Nilipanic sana neno la chini kabisa joke limenifanya niwe mpoleKwa niaba ya LEGE hii story ndio imeishia hapa. Haitaendelea tena kutokana na matatizo yaliyo nje ya uwezo, msiulize ni matatizo gani maana hayawahusu. Nitawajuza endapo kutakuwa na mabadiliko yoyote, kwani wote nimewaweka kwenye taglist yangu.
ASANTENI KWA SUBIRA NA UVUMILIVU WENU. KWANZA HAMLIPI HATA MIA NA WALA HAMCHANGII BUNDLE.
MUWE NA MCHANA MWEMA.
(joke)
Hahahaha!! Pole sana mkuu.Nilipanic sana neno la chini kabisa joke limenifanya niwe mpole