QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

Mh! Nomaa. Kama ni mahind yameshaungua.

ZIMA MOTO.
 
Lege
Wakuu Jana nilitaka kurushia ila mtandao ukawa unasumbua , wakuu kaeni mkao kama sitabanwa ntarusha sasa hivi mkiona kimya mjue tu kibano kimikuja gafla
 
LEGE, nini shida mkuu? nikikuona online napata matumaini kwamba unashusha mzigo, au kuna mtu mwingine anatumia account yako??
 
Pamoja LEGE. We ukipata muda eka za kutosha 2.
Sisi tutazikuta 2...
 
Lege
Yah yah wakuu nipo kweli online but kuna kazi, nilikuwa nasabcribe site yangu online
Alafu huku nilitaka kucheki kama bashite kashotolewa au laa nisameeni wakuu ndo ubize ulivyo
 
Ujasus, Uchunguzi na ziada katika mambo ya watu.
Melk
 
Kwa niaba ya LEGE hii story ndio imeishia hapa. Haitaendelea tena kutokana na matatizo yaliyo nje ya uwezo, msiulize ni matatizo gani maana hayawahusu. Nitawajuza endapo kutakuwa na mabadiliko yoyote, kwani wote nimewaweka kwenye taglist yangu.

ASANTENI KWA SUBIRA NA UVUMILIVU WENU. KWANZA HAMLIPI HATA MIA NA WALA HAMCHANGII BUNDLE.

MUWE NA MCHANA MWEMA.

(joke)
 
Sicho alichotuahidi mwanzoni, kwahiyo we kaa utulie...
 
Hakunaga...
Jamaa hayupo hivyo.
Nyie tayarishen miwani coz akitokea hapa patakua hapatosh
 
Kwa niaba ya LEGE hii story ndio imeishia hapa. Haitaendelea tena kutokana na matatizo yaliyo nje ya uwezo, msiulize ni matatizo gani maana hayawahusu. Nitawajuza endapo kutakuwa na mabadiliko yoyote, kwani wote nimewaweka kwenye taglist yangu.

ASANTENI KWA SUBIRA NA UVUMILIVU WENU. KWANZA HAMLIPI HATA MIA NA WALA HAMCHANGII BUNDLE.

MUWE NA MCHANA MWEMA.

(joke)
Nilipanic sana neno la chini kabisa joke limenifanya niwe mpole
 
Back
Top Bottom