Hahahahaha imekuwa kama kusubiria embe chini ya mnazi...Btw, nimefurahi kukuona, maana ulipotea sana.yaan naona ata uvivu kuingia kila nikichungulia hola
mm pia successor tutaonana lege akishusha vitu nao katingwa sanaHahahahaha imekuwa kama kusubiria embe chini ya mnazi...Btw, nimefurahi kukuona, maana ulipotea sana.
Nakumbuka sana mkuu musacha, yale yalikuwa ni zaidi ya maumivu. Huyu jamaa zikimtibuka anafanya mambo ya ajabu sana. Ni bora tumuache tu ashushe mzigo kwa wakati wake. Tuwe wavumilivu.
nilichoona kwa lege ni kumuacha tu akipata mda wake ataweka haya mambo ya kumforce yatakua kama ya penielaNakumbuka sana mkuu musacha, yale yalikuwa ni zaidi ya maumivu. Huyu jamaa zikimtibuka anafanya mambo ya ajabu sana. Ni bora tumuache tu ashushe mzigo kwa wakati wake. Tuwe wavumilivu.