QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

Lege ni bora tumuache tu, akipata nafasi aje aweke mambo kwa wakati wake. Bado kumbukumbu ya Peniela alivyoharibiwa nyakati za mwisho, haijanitoka. Mkuu successor na Shunie mtakuwa mnakumbuka.[emoji3][emoji3]
Nakumbuka sana mkuu musacha, yale yalikuwa ni zaidi ya maumivu. Huyu jamaa zikimtibuka anafanya mambo ya ajabu sana. Ni bora tumuache tu ashushe mzigo kwa wakati wake. Tuwe wavumilivu.
 
wakuu sifanyi kusudi yaani hapa naforce ili nijitahidi niweke hata sehemu 10 tuu.now shida ni kuwa jana waya wa usb ulinigomea kabisa story ipo hard disc ilikuwa kwenye simu nikaihamisha .leo nimepata waya naona nao kama wanizingua tuu hivyo wacha nifanye maarifa hapa nione nawezaje kupost story wakuu sifanyi kusudi .mm mwenyewe ni mdau wa story hivyo najua alosto na maumivu ya kusubilia story ikikatishwa
 
na kingine mbali ya story jf kuna maisha yanakaba sana uswahilini pilika zinakaba sana sio kama kipindi cha peniela.mda ulikuwepo kuwepo sana.nikipata time ni bora niwe na shusha mwanzo mwisho mhangaike nayo kuisoma kuliko kuwachomesha mahindi
 
Back
Top Bottom