QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

na kingine mbali ya story jf kuna maisha yanakaba sana uswahilini pilika zinakaba sana sio kama kipindi cha peniela.mda ulikuwepo kuwepo sana.nikipata time ni bora niwe na shusha mwanzo mwisho mhangaike nayo kuisoma kuliko kuwachomesha mahindi
tumekuelewa lege usijal ukipata mda we shusha tu tuangaike nazo
 
Kwa sababu hizi, lazima niwe mpole, naelewa sana unachokizungumza. Pambana na maisha mkuu.
 
Lege

Wakuu mnajua kama nilivyosema cable inazingua , hapa na cable yangu adi niagiaze dubaiii , au Marekani, na uwa inachukuaga mwezi tuu kufika, ila msijali kazi zikipungua ntapeleka hii iliyoaribika nairobi iwekwe sawa
Very sorry , sina cha kufanya kazi yote ipo kwenye hii komputa. Sasa ntafanyeje. Na mi huku kuna story ambayo mi mwenyewe naisoma , ambayo ntairusha tukimaliza hii, but dahh
Am sorry !!!!
[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]
 
Lione kwanza[emoji3]
 
tumekuelewa lege usijal ukipata mda we shusha tu tuangaike nazo
Lakini kwa nini tusione utaratibu wa kumnunilia Lege huo waya? Ukifatilia maelezo ya ke kikwazo ni hyo cable ambayo nina uhakika madukani upo. Lege sema waya sh ngp uweke na no ya cm tupate burudani
 
Lakini kwa nini tusione utaratibu wa kumnunilia Lege huo waya? Ukifatilia maelezo ya ke kikwazo ni hyo cable ambayo nina uhakika madukani upo. Lege sema waya sh ngp uweke na no ya cm tupate burudani
Umeongea la maana
 
Lege bano. Nimekuwa mdau wako ghafla kwenye hii story ila umenikata maini but bado nasubiri na wadau
TUSHUSHIE MAMBO LEGE
 
LEGE sema huo waya bei gani mkuu tujichange, haiwezekani tukose burudani kwasababu ya waya. Sio mbaya tukikuwezesha, maana kazi unayoifanya ya kutupatia hii burudani sio ndogo aisee.
 
Mandelaa huwezi isubiria hivyo mpaka mwisho we jiunge nasi kweny maumivu+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…