LEGE
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 5,122
- 9,209
- Thread starter
- #921
haina shida mkuu nimewasoma tatizo mida yenyewe ya wanga ndio niikuwa naweka hivyo vipande nyote mlikuwammelala na mm pia akili ilikuwa ishalalaAsante mkuu kwa hii kitu, tuliimiss sana. Tunakuomba kama inawezekana ongeza ukubwa wa hivi vipande, vimekuwa vifupi sana siku hizi, halafu havienei kwenye page, huu mtindo haufurahishi.
Nimeona nitoe ya moyoni.
Yote kwa yote, story ni tamu na inazidi kukolea.