QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

Asante mkuu kwa hii kitu, tuliimiss sana. Tunakuomba kama inawezekana ongeza ukubwa wa hivi vipande, vimekuwa vifupi sana siku hizi, halafu havienei kwenye page, huu mtindo haufurahishi.

Nimeona nitoe ya moyoni.

Yote kwa yote, story ni tamu na inazidi kukolea.
haina shida mkuu nimewasoma tatizo mida yenyewe ya wanga ndio niikuwa naweka hivyo vipande nyote mlikuwammelala na mm pia akili ilikuwa ishalala
 
hahahh et utoe ya moyoni
 
Yani vipande ulivyoweka leo vyote ni sawa na peniela sura moja. Lege tutendee haki kamanda yani hatufiki kileleni kabisa tukianza kuongeza speed tu ngoma imeisha mwali kalala doro
 
Bwana lege we weka inavowezekana ilimradi watu tusome tu. Inatosha kwanza vya bure garama jaman. Maisha yanaban hali mbayaaa mwacheni na yeye atafute ugali
 
haina shida mkuu nimewasoma tatizo mida yenyewe ya wanga ndio niikuwa naweka hivyo vipande nyote mlikuwammelala na mm pia akili ilikuwa ishalala
Hahaha!! Sawa mkuu, nimeamka nikakutana nayo, asubuhi yangu imekuwa njema sana.

Asante kwa uelewa wako. Much respect!!

Pamoja sana mkuu.
 
Si umeonaaaa. Me nkimuita anakuja bwana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha!! Nilijua lazima aje....maana ulivyomuita mmmmhhh!!! Alikuwa yuko radhi akeshe ili mradi ashushe mzigo, imagine ameweka mzigo saa nane usiku, hahahahaa

Itabidi tuwe tunakutumia.
 
Hahaha!! Sawa mkuu, nimeamka nikakutana nayo, asubuhi yangu imekuwa njema sana.

Asante kwa uelewa wako. Much respect!!

Pamoja sana mkuu.
hivi mwanzo ulikua unatumia avatar ya kikorea au nimekosea
 
binafsi ni mwingi wa kushkuru...hata kama ni kidogo....

the battle b'tween ze albeto v/s austin....comming soon....
Sio kwamba tunaotoa maoni hatuna shukrani, ila kutokana na uzuri wa story yenyewe ndio maana tunamuomba aiweke kwa ubora unaostahili, hili ni bonge la story kama hujashtukia.

Tunamuomba ajitahidi kuiweka kwa mtindo bora zaidi kama ikiwezekana, tunajua ana majukumu mengi.

Pamoja mkuu.
 
Yani vipande ulivyoweka leo vyote ni sawa na peniela sura moja. Lege tutendee haki kamanda yani hatufiki kileleni kabisa tukianza kuongeza speed tu ngoma imeisha mwali kalala doro
nitajitahidi wakuu haina shida tatizo zilikuwa akili za usiku.siunajua tena mida ya wanga ileee
 
Mkuu Lege dondosha tu.
Ngoja nikatafute kitaulo cha kufutia michozi, manake nadhan kazi ya leo patakua hapatoshi...
 
Hahaha!! Nilijua lazima aje....maana ulivyomuita mmmmhhh!!! Alikuwa yuko radhi akeshe ili mradi ashushe mzigo, imagine ameweka mzigo saa nane usiku, hahahahaa

Itabidi tuwe tunakutumia.
Anhahahahahahahaha[emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom