haina shida mkuu nimewasoma tatizo mida yenyewe ya wanga ndio niikuwa naweka hivyo vipande nyote mlikuwammelala na mm pia akili ilikuwa ishalalaAsante mkuu kwa hii kitu, tuliimiss sana. Tunakuomba kama inawezekana ongeza ukubwa wa hivi vipande, vimekuwa vifupi sana siku hizi, halafu havienei kwenye page, huu mtindo haufurahishi.
Nimeona nitoe ya moyoni.
Yote kwa yote, story ni tamu na inazidi kukolea.
hahahh et utoe ya moyoniAsante mkuu kwa hii kitu, tuliimiss sana. Tunakuomba kama inawezekana ongeza ukubwa wa hivi vipande, vimekuwa vifupi sana siku hizi, halafu havienei kwenye page, huu mtindo haufurahishi.
Nimeona nitoe ya moyoni.
Yote kwa yote, story ni tamu na inazidi kukolea.
sante legeMKUU NATAKASIKU 2 HIZI HASA BAADAE NIIFUNGIE KAZI TUIMALIZE KABISA SEASON YA 2.TATIZO KUBWA NI MDA MKUU NOW SAA 8 HII NA MORNING MAJUKUMU KAMA KAWA
Si umeonaaaa. Me nkimuita anakuja bwana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aisee!! Mtoto unajua kuita wewe!! Lazima aje.
Hahaha!! Sawa mkuu, nimeamka nikakutana nayo, asubuhi yangu imekuwa njema sana.haina shida mkuu nimewasoma tatizo mida yenyewe ya wanga ndio niikuwa naweka hivyo vipande nyote mlikuwammelala na mm pia akili ilikuwa ishalala
Hahaha!! Nilijua lazima aje....maana ulivyomuita mmmmhhh!!! Alikuwa yuko radhi akeshe ili mradi ashushe mzigo, imagine ameweka mzigo saa nane usiku, hahahahaaSi umeonaaaa. Me nkimuita anakuja bwana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hivi mwanzo ulikua unatumia avatar ya kikorea au nimekoseaHahaha!! Sawa mkuu, nimeamka nikakutana nayo, asubuhi yangu imekuwa njema sana.
Asante kwa uelewa wako. Much respect!!
Pamoja sana mkuu.
Sio kwamba tunaotoa maoni hatuna shukrani, ila kutokana na uzuri wa story yenyewe ndio maana tunamuomba aiweke kwa ubora unaostahili, hili ni bonge la story kama hujashtukia.binafsi ni mwingi wa kushkuru...hata kama ni kidogo....
the battle b'tween ze albeto v/s austin....comming soon....
Yeah!! Hujakosea, Lee Min-Hohivi mwanzo ulikua unatumia avatar ya kikorea au nimekosea
sawaYeah!! Hujakosea, Lee Min-Ho
nitajitahidi wakuu haina shida tatizo zilikuwa akili za usiku.siunajua tena mida ya wanga ileeeYani vipande ulivyoweka leo vyote ni sawa na peniela sura moja. Lege tutendee haki kamanda yani hatufiki kileleni kabisa tukianza kuongeza speed tu ngoma imeisha mwali kalala doro
Anhahahahahahahaha[emoji23] [emoji23]Hahaha!! Nilijua lazima aje....maana ulivyomuita mmmmhhh!!! Alikuwa yuko radhi akeshe ili mradi ashushe mzigo, imagine ameweka mzigo saa nane usiku, hahahahaa
Itabidi tuwe tunakutumia.