QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

Legeeeeee! Nilijua utamalizia na utamu kati ya David na Monica[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Duuuuuh lege kumbe nia Yako ni kututesa usiku. Nimeamka nayo sasa ivi lakini mungu anakuona unaweza kuwa mtawala juu yetu lakini naamini pia nawe utapata mtawala Wa kukunyanyasa na kikutesa nafsi Yako.
 
Nimegundua LEGE ni mtu hatari sanaa kwa afya ya akili yangu[emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Lege unazingua uliahidi kumi unaweka mbili ndo nn sasa kama si dharau na watu tumelala saa saba asante lakin
 
Kiukweli wala sija enjoy ameweka fupi sana na hapo pengine akatokea tena wiki ijayo
 
Angalau alitakiwa atuvute mpaka monica kurudi bongo na kukutana na Marcelo, pia rais kukutana na Austin na kidogo atupe reaction ya Albetos kwenye speech ya rais hapo sasa hata akipotea tunamsubiri kwa amani
 
Kwa niaba ya LEGE hii story ndio imeishia hapa. Haitaendelea tena kutokana na matatizo yaliyo nje ya uwezo, msiulize ni matatizo gani maana hayawahusu. Nitawajuza endapo kutakuwa na mabadiliko yoyote, kwani wote nimewaweka kwenye taglist yangu.


ASANTENI KWA SUBIRA NA UVUMILIVU WENU. KWANZA HAMLIPI HATA MIA NA WALA HAMCHANGII BUNDLE.

MUWE NA MCHANA MWEMA.


(joke)[/QUOTEWewee
 
Back
Top Bottom