QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

Mkuu ktk watu wanaojua kutoa matumaini wewe ni mmojawapi wasiwasi wangu tu ni kwenye vitendo hahahah
 
Mkuu ktk watu wanaojua kutoa matumaini wewe ni mmojawapi wasiwasi wangu tu ni kwenye vitendo hahahah
huo ndio ukweli wangu mkuu kuna mdau huwa ananipigia simu na humu jf kuna member wengi tuu huwa tunaonana nao au kuwasiliana mbona mfano some times nafika home saa 7 wengi huwa mnakuwa mmeshalala
 
Ya kweli hayo mkuu lege?? Kumbuka ulituahidi dozi kutwa*3 ukashindwa kuutekeleza..
vvv
 
huo ndio ukweli wangu mkuu kuna mdau huwa ananipigia simu na humu jf kuna member wengi tuu huwa tunaonana nao au kuwasiliana mbona mfano some times nafika home saa 7 wengi huwa mnakuwa mmeshalala
Unarudi lini kutoka mkoani ? Na wasalimie pia
 
Habari za kolomije mkuu,,mjini huku ni clouds mix protea hotel..msalimie D A B
 
huo ndio ukweli wangu mkuu kuna mdau huwa ananipigia simu na humu jf kuna member wengi tuu huwa tunaonana nao au kuwasiliana mbona mfano some times nafika home saa 7 wengi huwa mnakuwa mmeshalala
Mkuu wewe ndio unatusuza roho pale tunapokuwa na matumaini mfu.
Sasa uko nje ya dar ona tunavyoteseka mkuu.

Sasa hivi simu yangu kijijini inaonekana haina maana kwani niliwapoza watu kwa kuwaita kuja kusoma, sasa hivi wanakuja mwishowee wanarudi na vinyongo vyao, wengi wameniita sina maana,.
Kibaya zaidi kuna ka demu kakali kaliniambia kata nipa namba siku ukiweka, sasa hivi kananiuliza nabaki nauma klips tu mkuu
 
Mmh
 
figisu...bhana LEGE.....usikatae...[emoji1] [emoji1]
story ikifikiaga kwenye kiini.... shida inaanzia hapo..
 
Ikawa asubuhi ikawa mchana ikawa jioni siku ya nne LEGE haonekana.....wana wakasema isiwetabu tutamfanya mtunzi mwingine wa story awe km LEGE..
Natania tu. Hakuna km LEGW
 
Ikawa asubuhi ikawa mchana ikawa jioni siku ya nne LEGE haonekana.....wana wakasema isiwetabu tutamfanya mtunzi mwingine wa story awe km LEGE..
Natania tu. Hakuna km LEGE
 
Sasa hivi litakuja tangazo kuwa mtunzi kakataa hadithi yake kurushwa humu hivyo mtatajiwa group la watsup mkalipie au mtaelekezwa kwa kununua kitabu. Ni ndoto yangu tu wakuu inaweza kuwa kweli au isiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…