QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

mkuu bado sijageuka kuna ishu imenipiga kabali nilitegemea itakuwa faster lkn imekuwa ndivyo sivyo
Mkuu uko ulipo umeweza kufatilia habari ya hamorapa? I mean umekutana naye huko? Maana kakimbia hapa juzi,
Ndo la maana na habari ya mjini huku vipi umesikia?
Au ajotolee msimuliaji mzuri akuelezee?
 
Nachungulia kama digidigi, kila nikitupa jicho ni hola..!! LEGE rudi mapema maana sio kwa arosto hii...
 
Mkuu LEGE kwani huko ulipo hakuna internet?Ipige basi ukiwa juuu kwa juuu mkuu mpaka tinasahau tulipoishia......mkuu plssss ukijicommitt kuwapa mateja ngada usiwaaache muda mrefu hivi UTAUA mkuuu😵😵😵😵😵😵😵😵😵😵
 
mpaka aje arudi austin kazi kashamaliza na kwa madiba amesharejea...na monica kajifungua...tayari..(usinihulize kazaa na nani..?)...
 
Mkuu LEGE au mpe mpe mtu wako wa karibu episode chache atuletee ukirudi unaendelea ... ..please delegate authority for the time b....
 
Sitegemei kusoma hadithi za jf tena. Nikitaka kusoma hadithi labda iwe full, lakini hii ya kutupia halafu katikati ya story bundle zimeisha mara nimesafiri mara nauguza mara kazi nyingi ofisini mwisho
 
Hata sikubuki iiishia wapi yani ...weekend IPO bored sana no game no story daa no move
 
Sitegemei kusoma hadithi za jf tena. Nikitaka kusoma hadithi labda iwe full, lakini hii ya kutupia halafu katikati ya story bundle zimeisha mara nimesafiri mara nauguza mara kazi nyingi ofisini mwisho
Za kikuzi kweli
 
Kuna huyu anaelekea ndiyo mwandishi nimempatia Facebook unatuma elfu3 anakutumia story yoyote ikiwemo hiyo queen monica ila anasema season ya 3'bado ndo ipo anaiandaa
 
Back
Top Bottom