QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

LEGE mkuuu tuna NY.....GE na story yetu......tafadhali sanaaaa tumalizie mkuu.
 
Story nyingi humu huwa zinaisha kwa shida mno. Nahisi kuna sababu ya kuchelewesha episodes za mwishoni.

Ibra hajamalizia riwaya zake kadhaa mpaka nyuzi hizo zimesahaulika. Nashauri anaeleta story a jitahidi kufikisha mwisho kwa wakati.
 
Huyu LEGE ila iwe siri yenu tu usimwambie mtu nahisi atakuwa anafanya kazi na akina baba jesca hivo msihofu akimaliza tu mtamuona anatinga ndani ya nyumba (alafu ana kale ka kisingizio kake kale) Namnukuu:" Huku niliko mtandao unasumbua mh!!!"
Khaaaaaaa[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Umenishtua, nikajua lege kaingia na gako ka kijani
 
Mwandishi Bado anaandaa season 3 haijakamilika, tuvute subira wakuu.
 
Back
Top Bottom