Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi ni zarau sasa kwani hakujua kama ameanzisha stor huku!!!Matatizo ya vitu vya bure
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa Sie tuliekuwa Tunaifatilia Paniela Kwa Kiwahka wahka hali hii Ilitukuta
Hivyo Uzoefu tunao
Tuliteseka asee ila yule Anitha bado sijampatia mfano wakeKwa Sie tuliekuwa Tunaifatilia Paniela Kwa Kiwahka wahka hali hii Ilitukuta
Hivyo Uzoefu tunao
Ni kweli vya bure vina gharama mkuu!Matatizo ya vitu vya bure
Hukutakiwa kuongea kitu ulipaswa kufanya vitendo. Sasa hapo uliposema baada ya siku mbili tatu bado hujawa specific. Hata hivo stori ni yako, bando ni lako na muda ni wako wasi ku drive hawa na kama wanajiona wana uhuru wa kukuuliza NOT to that extentWAKUU NIMELUDI NAZANI SIKU MBILI TATU MAMBO YATAKAA KWENYE MSTARI. NILIKUWA NJE YA DAR KWA MDA KIDOGO PILIKA PILIKA ZA HAPA NA PALE NDIO CHANZO CHA KUWA KIMYAA HATA KAMA MLIKUWA MNANICHUNGULIA ONLINE NILIKUWA SIPATIKANI KABISAA WAKUU POLENI SANA.
HAKUNA KITAKACHO HARIBIKA SUBIRA YA VUTA HERI